Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
πππππππ« π« π« πSijui mtafanya nn mwaka huu Simba day ili mjaze uwanja, watu wamekata kabisa tamaa na timu, jana nilikuwepo uwanja wa Majaliwa Stadium tukidhalilika kwa Namungo dakika ya 89, kwanza washabiki hawakuwa na time na Simba kabisa, hakukuwa na magari ya mashabiki kutoka masasi, liwale, nachingwea, Tunduru wala Mtwara, hii ni dalili mbaya sana.
Brand imepotezwa na watu wanaong'ang'ania kazi wakati wameshashindwa.
Nani atakwenda Simba Day 2024?
Labda awepo Feitoto, Dube ingawa ni ngumu lkn bila hivyo aaaah wapi, nendeni tu.
Hio unavyoandika unawachoma roho zaoHata uzi tu wana 5imba wameukimbia, 5imba dei watakimbia......
Simba kwa sasa,ni kwamba tumezidiwa sana akili na yanga.Wametuwekea mwenyekiti,Mangungo,walituwekea Majula.Wamefanikiwa kuiua simba.Mo naye ni tajiri wa mchongo tu.Anazidiwa na muuza magodoro.Sijui mtafanya nn mwaka huu Simba day ili mjaze uwanja, watu wamekata kabisa tamaa na timu, jana nilikuwepo uwanja wa Majaliwa Stadium tukidhalilika kwa Namungo dakika ya 89, kwanza washabiki hawakuwa na time na Simba kabisa, hakukuwa na magari ya mashabiki kutoka masasi, liwale, nachingwea, Tunduru wala Mtwara, hii ni dalili mbaya sana.
Brand imepotezwa na watu wanaong'ang'ania kazi wakati wameshashindwa.
Nani atakwenda Simba Day 2024?
Labda awepo Feitoto, Dube ingawa ni ngumu lkn bila hivyo aaaah wapi, nendeni tu.
Derby huwa hakuna hujuma, mmekandwa kihalali tu ila wewe bado huukubali mziki wa Yanga na bado!! sisi uto tunamtaka Kibu tu ambae anacheza kwa falsafa za Yanga kukaba sana, kukimbia kwa kasi, kupambania timu kama ya baba yako, inonga hana nafasi Yanga.Simba kwa sasa,ni kwamba tumezidiwa sana akili na yanga.Wametuwekea mwenyekiti,Mangungo,walituwekea Majula.Wamefanikiwa kuiua simba.Mo naye ni tajiri wa mchongo tu.Anazidiwa na muuza magodoro.
Kwa kweli nimejikuta nauchukia mpira bongo maana umejaa uigizaji.Unaweza kupigwa 5 na yanga kumbe una wachezaji kama akina inonga wana bei tayari kwa mpinzani.
Timu nzima inacheza kama wamelazimishwa kucheza,hakuna mtu atakuwa na hamu na timu.