Iliingiza wangapi? 😀Selcom ni wezi....yanga sidhani kama iliingiza watu 48000
Iga ufee...
Kulikua na ujanja ujanja,,tiket zimeuzwa mara mbili na wajanjaSelcom ni wezi....yanga sidhani kama iliingiza watu 48000
Hapana beb ya uwanjani tunayaacha kwa mkapa. 😀Bebe na wewe ni mpinzani?? daaa naona kabisa kulala mzungu wa nne kupo karibu[emoji23][emoji23]
Hii chama lina bahati ya kushangiliwa na watoto wazuri;Iga ufee...
Mbona walitangaza siku ya simba day kwamba jumla ya tiketi zilizouzwa ni 60,000
SELCOM wametoa takwimu za uongo. Hapi kuna upigaji nje nje....58000 vipi yani kitu kilitapka watu wakakaa kwenye ngazi
Kabisaaa😁😁😁Hii chama lina bahati ya kushangiliwa na watoto wazuri;
Leta zako mkuu hapaSelcom ni wezi....yanga sidhani kama iliingiza watu 48000
Hawafiki 2000 sasaKuna waliongia kwa vimemo
Kila kitu connection mjini
[emoji3][emoji3]Kulikua na ujanja ujanja,,tiket zimeuzwa mara mbili na wajanja