Simba Duumeeeeh!

Bornvilla

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
924
Reaction score
271
Simba 2 Yanga(kandambili) nunge. Majigambo ya bure wamelalia kichapo cha pakamwizi.Simba hoyeeeeeee!

simba oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hawa yanga kenge manyoya kazi majigambo tu hawana lolote nass ngao yetu tunaipeleka bungen kama yanga wanavyofanya

Mpira wa Tanzania upuuzi mtupu. Kila siku Simba, Yanga, Simba. Badala ya kupanga kuchukua World Cup, nyie mnahangaika na timu zenu zilizojaa uchawi tu.

Timu ya kuuza sura magazetini,mtoto yake nepi jamani hamna kitu kabisa yanga! Poleni kwa kichapo.

Mpira wa Tanzania upuuzi mtupu. Kila siku Simba, Yanga, Simba. Badala ya kupanga kuchukua World Cup, nyie mnahangaika na timu zenu zilizojaa uchawi tu.
pole sana kaka, huyo ndo mnyama kawapigisha kwato leo.

simba oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hawa yanga kenge manyoya kazi majigambo tu hawana lolote nass ngao yetu tunaipeleka bungen kama yanga wanavyofanya
hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! wamekamatwa leo sisi huwa hatufungi kagoli kamoja!

Mpira wa Tanzania upuuzi mtupu. Kila siku Simba, Yanga, Simba. Badala ya kupanga kuchukua World Cup, nyie mnahangaika na timu zenu zilizojaa uchawi tu.

-akili zako sawa sawa na kandabili

Mnyama kafanya kazi yake.simba oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Yaani pamoja na usaidizi wa mtoto wa mkuu bado wamelambwa??
Simba oyeeeeeeeee,
Timu ya Chama ziiii!!!!!!

SIMBA SC...

hureeeeeeeeeeeeee
Yanga sc...

ziiiii kama kifaranga kilicholowa maji,hakiwezi kunyanyua hata ubawa wake kuzuia adui asimvamie.

sunzu 2 yanga 0..walishatishia kutopeleka timu ni afadhali wasinge peleka kabisa..

hahahaha simba kagoma kupakatwa ..... safi sana hongereni

wapendwa,

mimimzamani nilikuwa mshabiki sana wa huu mchezo, sijui ushabiki ulipotelea wapi! au ndio ukubwa wenyewe?

hongera zao msimbazi!

Mwenendo wa Yanga kwa siku za karibuni mbofumbofu ...

El Merech 3 Yanga 1
El Hilal 3 Yanga 1
Simba 2 Yanga 0

Mnyama kafanya kazi yake.simba oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

vipi mkuu mshindi wa jana katoka na kitita cha Tsh ngapi?

ha ha ha ha haaaaa Simba ni kama Chadema na Yanga ndo magamba orijino kudadadeki wamekalia kichapo

Mwenendo wa Yanga kwa siku za karibuni mbofumbofu ...

El Merech 3 Yanga 1

El Hilal 3 Yanga 1

Simba 2 Yanga 0

umesahau na polisi dodoma 2 yanga 1.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…