First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475

wehu leo mtawehuka kiukweli!!!

sio mbaya Yanga kaamua kumfurahisha demu wake walau afurahie ka hisani,

kazi october, full kupewa mimba tena kuuuubwa!!

cha muhimu Tumempa sweetie wetu kaamani ili akatafute hotel nzuri ya kufurahia honeymoon tutakapooa jumla.

Hivi ngao ya hisani winner analamba ngapi vile?

wehu leo mtawehuka kiukweli!!!

sio mbaya Yanga kaamua kumfurahisha demu wake walau afurahie ka hisani,

kazi october, full kupewa mimba tena kuuuubwa!!

cha muhimu Tumempa sweetie wetu kaamani ili akatafute hotel nzuri ya kufurahia honeymoon tutakapooa jumla.

Simba Vs Kagera Sugar

Simba Vs Toto

Halafu iwe hivi:-

SIMBA VS REAL MADRID.

Hapo ndo tuchangigie.

Wote mnachangia mpira wa TANZANIA bado ni Vipofu!!! Samahani ila ndo ukweli.

Turudi kwenye umeme na UFISADI Mpira hatuwezi.

Angalia mawzo ya kumwambia bibio na ya kuleta humu jamvini
pole na hongera