Simba [emoji1241] uso kwa uso na Rs Berkane CAF CC

Simba [emoji1241] uso kwa uso na Rs Berkane CAF CC

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
#TotalEnergiesCAFCC

Grp A
Pyramids FC
CS Sfaxien
Zanaco FC
Ahli Tripoli

Grp B
JS Kabylie/Royal Leopards
Orlando Pirates
JS Saoura
Al Ittihad SC

Grp C
TP Mazembe
Cotonsport FC
Al Masry SC
AS Otoho d'Oyo

Grp D
RS Berkane
Simba SC
ASEC Mimosas
US Gendarmerie
 
Hilo group wote ni wanyonge tu, mwenye afadhali ndio atapita
Mtani unavyoongea utafikiri hapo kuna KMC au Namungo ambazo huwa unazishinda kwa penalty, wewe wekeza nguvu kwenye ligi ya ndani kwanza hauwezi kuziita team za kimataifa eti "wanyonge" wakati wewe huwezi kabisa kufika huko[emoji3].

Jiandaeni kupokea wageni tena.
 
Mkuu hiyo group siyo ya kinyonge the way watu wanavyowaza ,Kama unafuatilia ligi zao kasi wanayocheza Berkane inahitaji mda Simba kuwakabili ,kwanza imagine mchezaji bora Simba Chama anakaa benchi
 
Back
Top Bottom