Wote hao watashiriki kuitoa Orlando?Na Mamelodi na Kaizer Chiefs wote wanaisapoti Simba.
Weweeeeee!!!
Watashiriki kwa namna tofauti na mbali mbali.Wote hao watashiriki kuitoa Orlando?
Watu wasiote Moto uwanjani jamani?Makolo nawaomba msiende tena kuloga uwanjani mtatutia aibu taifa zima
Watasababisha tupokwe nafasi ya kuhodhi kombe la mataifa ya Africa mwakani 2027Watu wasiote Moto uwanjani jamani?