SIMBA FC - How to unsubscribe from MSG service

SIMBA FC - How to unsubscribe from MSG service

doup

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2009
Posts
2,706
Reaction score
2,861
Wadau

kwa muda nimekuwa nikichangia SIMBA kupitia ile huduma ya ujumbe wa taarifa za klabu. Kwa sasa naona inatosha. Msaada Kwa yoyote anaye fahamu ni jinsi gani ya kujitoa ktk huduma hiyo.

Asante
 
Acha hasira za kujitoa kuichangia Simba kwa sababu tu imefungwa mfululizo 2-1 huko Kigali ??? na baada ya kupigwa 5-1 huko Misri?!!!!!!??
 
Wadau

kwa muda nimekuwa nikichangia SIMBA kupitia ile huduma ya ujumbe wa taarifa za klabu. Kwa sasa naona inatosha. Msaada Kwa yoyote anaye fahamu ni jinsi gani ya kujitoa ktk huduma hiyo.

Asante

Unalo hilo, halitoki mpaka kufa.Yaani Simba imefungwa ndo unajitoa? Aaah mkulu vumilia tu.
 
Hii ndo shida ya Timu zinazobebwa ili zichukue ubigwa! Ona sasa wanachama wanataka kukimbia! Kiswa Simba kufunga 5-1 Na Alhoodod 2-1 na URA and 2-1 na APR?!! Eti hii ndo timu ilikuwa haijafungwa mechi yeyote mpaka ligi imeisha! Hii ni Aibu. Haijawahi Simba kuwa kibonde hivi kwenye Challenge cup (Kagame) kama mwaka huu. Kibaya Zaidi ndo mwaka Ilipovunja record ya kutofungwa hata mechi moja! What a shame Simba FC?!
Doup kubali matokeo wacha hasira!
 
Sasa mdau unataka kuichangia Azam nini?? kufungwa ni matokeo pia ya mpira...shabiki damu huwa anapitia vipindi vyote hivyo raha na machungu...
 
Wadau

kwa muda nimekuwa nikichangia SIMBA kupitia ile huduma ya ujumbe wa taarifa za klabu. Kwa sasa naona inatosha. Msaada Kwa yoyote anaye fahamu ni jinsi gani ya kujitoa ktk huduma hiyo.

Asante
Kwanini sasa unajiondoa mdau mwenzetu? Au humpendi Rage na Kaburu? Manake nina imani sio kipigo ndio kinakukimbiza manake ile ni sehemu ya soka. Huoni Liverpool bana hapo England
 
Mkuu Bado Dinari yako inahitajika sana Msimbazi so Vumilia tuu mkuu
 
Liverpool -" will never walk alone" na mimi ntakuwepo kundini;
Athari za mitikisiko wa uchumi; wangine ndio mawimbi ya mwisho mwisho yanatufikia sasa.
 
Kwanini sasa unajiondoa mdau mwenzetu? Au humpendi Rage na Kaburu? Manake nina imani sio kipigo ndio kinakukimbiza manake ile ni sehemu ya soka. Huoni Liverpool bana hapo England

Nasikia Accounts, zipo nyeupeeee!! Rage anataka kuwapeleka rasmi mahakamani viongozi waliopita. Sasa yanini tuendelee kuchangia mifuko ya watu.
 
Back
Top Bottom