bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Kila mwenye macho ameona kitendo walichofanya Simba cha kususia zawadi ya mshindi wa pili na huku mchezaji akipotea zawadi ya mchezaji bora ikiwa inatoka kwa mdhamini yule yule
Je ndo kusema mmekubaliana na hali halisi na vipi kuhusu zile anwani za Dhl?