Simba FC inakuaje mnakataa zawadi ya mshindi wa pili halafu mchezaji wenu anapokea tuzo

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Kila mwenye macho ameona kitendo walichofanya Simba cha kususia zawadi ya mshindi wa pili na huku mchezaji akipotea zawadi ya mchezaji bora ikiwa inatoka kwa mdhamini yule yule Je ndo kusema mmekubaliana na hali halisi na vipi kuhusu zile anwani za Dhl?
 
Simba wanatapatapa kweli...Watani ee kuweni wapole
 
Hongera kwa kuanzisha thread na ww

Hujui kutofautisha kuna kujumlisha na msalaba

Simba wamegoma kwa sabb ya zile point za kagera je zimbwe angegoma kwa sbb zpi

Andunje Wa Wa ufahamu kuhusu mpira
 
Sitaki kuamini kuwa Simba ndiyo wameandika hovyo kiasi hiki. Je, maafisa habari wao hawakufunzwa kuandika?

Jina la mtu siku zote huanza na herufi kubwa, Shirikisho la mpira (TFF), huwezi kulifupisha kwa herufi ndogo namna hiyo. Sikubaliani kabisa......

Nadhani hizi ni Figisu za watani wetu Yanga, wanajaribu kujitekenya na kucheka wenyewe.....
 


Mleta mada ndiye aliyetengeneza hicho kipeperushi kwa nia ya kuikejeli Simba
 
Hongera kwa kuanzisha thread na ww

Hujui kutofautisha kuna kujumlisha na msalaba

Simba wamegoma kwa sabb ya zile point za kagera je zimbwe angegoma kwa sbb zpi

Andunje Wa Wa ufahamu kuhusu mpira
Una taarifa lkn km rais wenu kaomba radhi kwa kugomea tuzo ya mshindi wa pili na ss kakubali rasmi km kweli ni washindi wa pili?
 
Hiyo tuzo ni mali ya mchezaji binafsi sio ya klabu.

Vv
 

Hiyo tuzo ni ya mchezaji binafsi sio tuzo ya Simba pia mchezaji hakupewa tuzo ile kwa sababu ya kuwa mchezaji wa Simba bali kwa kiwango chake. Hata kama Tshabalala angekuwa mchezaji wa Mbao bado angepewa tuzo.

Pili, hiyo barua haiwezi kuwa ya Simba maana mwandishi wa hiyo barua atakuwa komandoo tu.

Vv
 
Ilikuwa hakuna jinsi nafasi stahiki ya Simba ni namba 2 tu na si vinginevyo. Hakuna ubingwa wa Dezo Dezo Mezani
 
Kurukaruka kwa Maharage ndio kuiva kwake,lazima wataipokea tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…