Simba iwe mvua iwe jua,wanatakiwa kupambana kupata ushindi dhidi ya AS VITA hapo Taifa. Kundi bado liko wazi sana kwa matokeo hayo. Safi sana,mara paaa,Simba robo fainali. Upande wa pili wanatokwa mapovu balaa. THIS IS SIMBA[emoji2876][emoji2877][emoji173][emoji95][emoji95][emoji95][emoji94][emoji294][emoji295][emoji448][emoji3581]