Ameanza safari ya kurudi Africa kwa miguu kutoka ugaibuni, anadai ndani ya siku 4 atakua ameshaingia Tanzania.
Umechapia kuanzia kichwa cha habari hadi kwenye habari yenyewe, kufungwa kuskie kwa jiraniHapo kwenye FUNGUZA iwe FUKUZA yahusu kichwa. Nisamehe nimechanganyikiwa kufungwa, sikutarajia
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama wewe ndo wanarudisha mpira wetu nyuma na kama simba ina watu kama wewe basi tutaishia kufungwa kila siku. Simba ili iwe na matokeo bora iwekeze zaidi katika kutafuta wachezaji wazuri vijana kuja kuwa replace hawa waliopo ambao wamechoka..tofauti ya simba na yanga ni kuwa simba ina hela but kwenye management haina vijana wanaojua mpira imejaza tu wale wazee wanaotusajilia wauza matikiti wa brazil. Yanga hawana hela but kuna vijana pale wanaoumiza kichwa kila siku kuiboresha timu yao na mpaka kufikia sahv wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Haja ya moyo wetu imetimia,mkiweza ubingwa nyie bebeni tuNGOJA TUCHKUE UBINGWA KWANZA.MAMBO MENGINE YATAKAA SAWA. JANA NI CKU YA WANAWAKE DUNIANI.TULIWAPA FURSA WANAWAKE ILI TUONE KAMA NA WAO WANAWEZA, HAKIKA WANAWAKE WAKIWEZESHWA WANAWEZA, SIMBA NGUVU MOJA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi lile bao la mwanaume Morrison limeshafika au bado linasafiri!?