Simba fukuza benchi lote la kamati ya ufundi

P
Pep G akifukuzwa ndo nitakuunga mkono.
 
Hao vijana wa Yanga unaowasema ndio wanaohusika na usajili wa Yikpe, Sadney Urikhob, Balinya, Maybin Kalengo, Mustapha Suleiman na Issa Bigirimana!?????
Mkuu achana na ubishi usio na faida...ubishi kama huu ndo una tu cost na tutaishia kufungwa kila siku...wenzetu yanga walichemsha kwenye usajili na wakaliona hilo that why hao uliowataja karibu wote walishatemwa...wenzetu wamekua wakijitahidi kukifanyia marekebisho kikosi chao ndo mana unaona wame improve sana..yanga ya mwanzo wa msimu ni tofauti na yanga ya sasa....sisi simba tumekuwa na bureaucracy sana katika kufanya maamuzi haswa ya kuboresha timu yetu,simba tulichemka sana katika usajili mwaka jana na wachezaji tuliosajili hawana ubora kulingana na focus ya timu...kwa bureaucracy iliyopo simba siku hizi usije shangaa hata makipa wetu wote watatu wakiumia mwanzo wa msimu,timu inaweza kumwambia kagere ndo aje awe kipa msimu mzima pasipo kufanya usajili wa kipa mwingine...my point is"kama moodewji ana nia ya dhati ya kuwekeza simba,ahakikishe anawekeza vizuri katika usajili wa wachezaji wapya wa nyumbani na kimataifa ambao umri wao unaruhusu"
 
Yanga waliroga hatari,kwenye goli lake kulikuwa na waganga 8 wanalinda goli tungefungaje
 
Easier said than done.

Wanaofukuzwa wanalipwa fidia. Then unaanza upya na wengine. Kisa? Hela ya Mhindi ipo!
 
Hao vijana wa Yanga unaowasema ndio wanaohusika na usajili wa Yikpe, Sadney Urikhob, Balinya, Maybin Kalengo, Mustapha Suleiman na Issa Bigirimana!?????
Ukiondoa yirpe hao wengine wote walikuwa ni chaguo la kocha Zahera ambapo uongozi ulimsikiliza na kumletea wachezaji wake na aliposhindwa kuwatumia ikabidi atimiwe na wachezaji wake watimuliwe pia
 
VIPI BENCHI LOTE LA UFUNDI LIFUKUZWE AU LIENDELEE KUSALIA? NIJIBU TAFADHALI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…