Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Nembo ndo inacheza mpira?Simba gomeeni kabisa kuweka nembo ya chapa GSM kwenye jezi zenu
NimekudharauNembo ndo inacheza mpira?
Hoja yako haina mashiko coz hakuna ushahidi kwamba uchezaji mpira unaeza athiriwa na kuwapo kwa nembo eneo lolote lile la jezi!!
Tena sanaNimekudharau
Haya yote yanahusiana nini na Simba kukatalia kuvaa Nembo ya GSM?Kiukweli Simba wana hoja yenye mashiko
Ilikuleta fair ground ni vyema TFF wange mwambia Gsm iyo chapa yake iwepo ktk mabango uwanjan na sio ktk jezi.
G*m ndio waratibu was mabadiliko ktk klabu ya Yanga, wamewalipa wale wa Spain ili kuandaa draft ya mabadiliko
G*m ndio waliosimamia usajili wa wachezaj ktk clabu ya Yanga kwa misimu 2 na ushehe pamoja na usajili wa benchi la ufundi
G*m ndio wamesimamia usajili wa yule m South Africa kuja Yanga as new CEO
Leo hi G*m anasimama Kama mdhamin mwenza wa ligi lkn pia ndio wanao ratibu uendeshaji wa clabu ya utopolo ....hapa hatukuwa na usawa wa kiushiundani ...in one way or another mdhamin huyu mwenza anaweza aka alter matokeo ya mchezo.
Note pia huyuhuyu ana dhamini baadhi ya vilabu vyingine Kama 3 ivi.
Wapo wanao linganosha udhamin wa vodacom as main league spansor lkn pia aka dhamin namungo + biashara fc, hapa NI tofauti kabisa huyu G*m yy anadhamini Yanga lkn pia ana ratibu na kusimamia uendeshaji wa hi club ...kwa ajili ya kuondoa sintofahamu hapa tifutifu wajitafakari
huna hoja mjomba... lete hoja ujibiwe kwa hoja!!Nimekudharau
Independeza iwe ya MO FOUNDATIONIngependeza na Mo nae amwage fedha hapo TFF ili awe mdhamini mwenza namba tatu. Kisha Yanga nao wavae nembo ya kinywaji cha 'Mo Extra'
G*m ana ratibu uendeshaji wa klabu Y ambayo ni klabu shindani na SimbaHaya yote yanahusiana nini na Simba kukatalia kuvaa Nembo ya GSM?
Simba sio washamba kwenye rangi,Simba inavaa logo ya caf kijani na njano,Shida ya Simba ni unavaa nembo ya kampuni kuitangaza club inanufaikaje?CEO wetu anasema wamegundua mabasi yetu yana plate number zenye rangi za njano, wanafanya mchakato wa kuzibadilisha rangi ziwe nyekundu na nyeupe!
Kwani GSM ndio wanaochezesha mpira uwanjani (marefa) maana tunajua matokeo ni uwanjani acheni porojoKiukweli Simba wana hoja yenye mashiko
Ilikuleta fair ground ni vyema TFF wange mwambia Gsm iyo chapa yake iwepo ktk mabango uwanjan na sio ktk jezi.
G*m ndio waratibu was mabadiliko ktk klabu ya Yanga, wamewalipa wale wa Spain ili kuandaa draft ya mabadiliko
G*m ndio waliosimamia usajili wa wachezaj ktk clabu ya Yanga kwa misimu 2 na ushehe pamoja na usajili wa benchi la ufundi
G*m ndio wamesimamia usajili wa yule m South Africa kuja Yanga as new CEO
Leo hi G*m anasimama Kama mdhamin mwenza wa ligi lkn pia ndio wanao ratibu uendeshaji wa clabu ya utopolo ....hapa hatukuwa na usawa wa kiushiundani ...in one way or another mdhamin huyu mwenza anaweza aka alter matokeo ya mchezo.
Note pia huyuhuyu ana dhamini baadhi ya vilabu vyingine Kama 3 ivi.
Wapo wanao linganosha udhamin wa vodacom as main league spansor lkn pia aka dhamin namungo + biashara fc, hapa NI tofauti kabisa huyu G*m yy anadhamini Yanga lkn pia ana ratibu na kusimamia uendeshaji wa hi club ...kwa ajili ya kuondoa sintofahamu hapa tifutifu wajitafakari
Vip kuhusu AZAM FC na kampuni ya azam?G*m ana ratibu uendeshaji wa klabu Y ambayo ni klabu shindani na Simba
G*m ameratibu mabadiliko ktk.klabu Y
G*m ameratibu na kusimamia usajili wa wachezaj na benchi la ufundi wa klabu Y ambayo ni mshindani na clabu ya simba.
G*m ameratibu kambi ya klabu Y ambayo ndio washimdani wa klabu ya Simba
Conclusion
G*m.ndani ya klabu Y sio mdhamin tu bali pia ni mwendeshaji how come unadhamini ligi then utegemee ushindani sawa ?
Ukimvaa G*m no sawa umevaa chapa ya klabu Y
Mnavaa tu coz hamna jinsi lazima mvae maana kule caf si kwa mchezoSimba sio washamba kwenye rangi,Simba inavaa logo ya caf kijani na njano,Shida ya Simba ni unavaa nembo ya kampuni kuitangaza club inanufaikaje?
Kwan unafikiri Simba hawajui Kama refeers ndio wanachezesha mpira ?Kwani GSM ndio wanaochezesha mpira uwanjani (marefa) maana tunajua matokeo ni uwanjani acheni porojo