Wewe Ceo wa bodi Almasi Kasongo mbona mshamba sana wewe jamaa, hiv kweli Simba itegemee promo ya Yanga hadi ulalamike Clouds kuwa Yanga hawajafanya promo kwa mechi hiyo, Simba haihitaji promo ya Yanga, Simba ina uwezo wa kujaza uwanja pasipo promo ya Yanga, acha ushamba huo.