Sahihi..Wazee wa kuchangia tofali.......mazumbukuku!!
Wenyenazo ni wawili tu.. nao ni wazee
5-1Wazee wa kuchangia tofali.......mazumbukuku!!
Wenyenazo ni wawili tu.. nao ni wazee
Nasikia mmechukua wastaafu hko.Simba haijali mashabiki zake na inawatapeli na kuwaingizia hasara,wakati mwingine kelele anazofanya Ahmed Ally ni kama unafki tu.
* Simba ilileta mchango kwa ajili ya uzio wa uwanja wa Bunju,mashabiki wamechanga baadaye Magungu anasema imeenda kwenye matumizi mengine,na hakuweka bayana ni matumizi gani.
*Simba iligoma kucheza derby ya tar 8 bila kujali watu wamelipa vingilio,walisema hawatacheza hadi malalamiko yao yafanyiwe kazi ndo watacheza,cha kushangaza bodi ya ligi ilipopanga mechi tar 15 wao ndo wanahamasisha mashabiki kwenda wakati malalamiko yao hayajafanyiwa kazi(vigeugeu).
*Bodi ya ligi ilipotangaza tar mpya ya mechi (tar 25),Simba hawakuhamasisha mashabiki as if hawaendi uwanjani kumbe wameenda,watu hawajui kama mechi ipo na kuwaingizia watu hasara kwa tiketi walizonunua kwa ajili ya mechi ya kwanza.
*Mechi ya fainali ya shirikisho dhidi ya Berkane ,wao wameanza kuuza tiketi kwa ajili ya mechi Benjamin Mkapa bila kusubiri uamuzi wa CAF,CAF wakabadili uwanja wao bado wanaaminisha watu Mechi itachezwa kwa Mkapa,matokeo wametia watu hasara mechi imepelekwa Zanzibar.
NB: Siku ya Simba Day ijayo Ahmed Ally ataanza kuhamasisha mashabiki ili wapate hela ya viingilio na kusifia usajili wa kijinga kama walivyofanya misimu iliyopita. Simba day wanafaa kususiwa ili wajue kujali mashabiki.
Kweli kabisaSimba haijali mashabiki zake na inawatapeli na kuwaingizia hasara,wakati mwingine kelele anazofanya Ahmed Ally ni kama unafki tu.
* Simba ilileta mchango kwa ajili ya uzio wa uwanja wa Bunju,mashabiki wamechanga baadaye Magungu anasema imeenda kwenye matumizi mengine,na hakuweka bayana ni matumizi gani.
*Simba iligoma kucheza derby ya tar 8 bila kujali watu wamelipa vingilio,walisema hawatacheza hadi malalamiko yao yafanyiwe kazi ndo watacheza,cha kushangaza bodi ya ligi ilipopanga mechi tar 15 wao ndo wanahamasisha mashabiki kwenda wakati malalamiko yao hayajafanyiwa kazi(vigeugeu).
*Bodi ya ligi ilipotangaza tar mpya ya mechi (tar 25),Simba hawakuhamasisha mashabiki as if hawaendi uwanjani kumbe wameenda,watu hawajui kama mechi ipo na kuwaingizia watu hasara kwa tiketi walizonunua kwa ajili ya mechi ya kwanza.
*Mechi ya fainali ya shirikisho dhidi ya Berkane ,wao wameanza kuuza tiketi kwa ajili ya mechi Benjamin Mkapa bila kusubiri uamuzi wa CAF,CAF wakabadili uwanja wao bado wanaaminisha watu Mechi itachezwa kwa Mkapa,matokeo wametia watu hasara mechi imepelekwa Zanzibar.
NB: Siku ya Simba Day ijayo Ahmed Ally ataanza kuhamasisha mashabiki ili wapate hela ya viingilio na kusifia usajili wa kijinga kama walivyofanya misimu iliyopita. Simba day wanafaa kususiwa ili wajue kujali mashabiki.
Timu imecheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na ni timu ya tano kwa ubora Afrika eti bosi ivunjwe? Unajua mpira au unaropoka tu kisa una bando?Kwa mfululizo wa matukio ya msimu uliopita ilitakiwa bodi ivunjwe yote na iundwe impya kuna mambo walifanya ya hovyo sana wakiongozwa na msemaji
mbona mashabiki wanalalamika sana na hawana furaha kama hayo ni mafanikio??? miaka minne timu haina kombe lolote, timu imefungwa na yanga mara tano mfululizo alafu unasema ni mafanikioTimu imecheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na ni timu ya tano kwa ubora Afrika eti bosi ivunjwe? Unajua mpira au unaropoka tu kisa una bando?
Mashabiki tunatofautiana. Hukusikia Eng. anasema Kuna washabiki Wala mihogo?mbona mashabiki wanalalamika sana na hawana furaha kama hayo ni mafanikio??? miaka minne timu haina kombe lolote, timu imefungwa na yanga mara tano mfululizo alafu unasema ni mafanikio
Muulize mshabiki wa Simba kama hayo ni mafanikio uone jibu atakalokupa