Simba haikustahili hata hiyo nafasi ya pili, mwakani itaisindikiza tena Yanga kama mwaka huu

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Simba inaelekea kushika nafasi ya 2 msimu huu lkn kiukweli quality ya wachezaji wake iko chini sana, iko chini mno, mechi wanazopoteza huko mikoani kama dhidi ya kagera, mbeya city, biashara mara, azam wenzak yanga wanazifunga killing sana, yanga wakisaidia yatima tu wanapata matokeo, Simba imekosa kabisa ushindani unaotakiwa, wachezaji wenyewe hawana kiwango cha kuchezea Simba, nyoni, Gadiel, Kanoute, bwalya utumbo mtupu, hebu fikiria had geita wanafikia hatua ya kuahidi kuwa wangefungwa na Simba Leo basi wangeomba wageuzwe wanawake, kweli Simba ya kuiahidia namna hiyo, onyango kazi yake kutoa fyongo tu

Nasema Simba kushika nafasi ya 2 imependelewa
 


Wewe malayapori hiyi nafasi ya pili ulutaka akae baba aki au mama ako? Angalia gape na points na goal differance
Tumekosa ubingwa lakini tumefika robo fainali confederation cup
Tumebeba ubingwa miaka minne na tumeweza kufika robo fainali mara mbili, nyie mmechukua ubingwa na mmeishia peliminary round confederation cup
 
Wewe hujui kitu, tunatembeza sana pesa pamoja na kuloga.

Tumshukuru sana Bashite alitusaidia kuiharibu Utopolo ndio maana tukabeba ubingwa mara 4 la sivyo sijui ingekuwaje.

Yaani awamu iliyopita ingeendelea tulishajihakikishia kuchukua ubingwa mara10 mfululizo!

Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
 
Na huko caf champions league mama ako na baba ako ndio alitubeba? Unagongwa huogi
 
Uto msimu huu kuachiwa ubingwa na mnyama mnatomboka maneno mengi.
Mmeuachia au hamna uwezo. Halafu si mnasemaga Simba anakuwa hatari round ya pili, so subirieni round ya pili bado haijaisha ,ila najua mnacho umia round hii ya pili haina viporo kama vya misimu ile mingine minne iliyopita,manake mpaka sasa ungekuwa na mechi tano mkononi.
 
Simba Ni kikundi cha wahuni
 
Astakafilulah....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…