Simba haina beki wa maana hadi sasa hivi, muda bado upo viongozi wangu

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
Tumepata beki msauzi lkn hatuna uhakika kama atazima kweli isije ikawa kam yule beki mwili jumba kutoka Sudan akawa anachekesha tu.

Mabeki Chamou na Hamza tulikuwa nao msimu uliopita, wana mapungufu mengi mnoooo.

Hamza hana mbio halaf wakat timu inashambuliwa yeye anatembea

Hamza akiona mambo magumu hachelewi kujivunja

Chamou ni mzito kuliko jiwe, halafu hajui kucheza na kipa wake

Anaweza kumrudishia kipa mpira bila kujali kuwa kipa yuko katika sehem nzuri ama la

Chamou anatumia nguvu sana kuliko akili

Ushauri tu maana msimu ujao tunataka furaha
 
Wapeni nafasi na muwaamini wachezaji wenu wote waliosajiliwa msimu huu na pia wale waliobaki, ili wawafanyie mambo makubwa. Kuanza lawama kabla hata ya kuwaona hao wachezaji, haijakaa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…