Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Wote hamna kitu, Simba haina scouting !Kasali siyo mbaya, Lakini Abel,daah badala kudaka mpira, anadaka panzi..
Makipa hawa wa kuipeleka Simba 1/2 fainali ya CAF?Kukiwa na ukuta Bora hata golikipa akiwa shati hakuna tatizo
Najaladia hii comment, yani hakuna kitu Simba amefanya, Yanga anajitangazia ubingwa katikati ya msimu hu.Wakati ligi inakaribia kuisha msimu uliopita kila mtu hata asiyejua mpira alikuwa anajuwa wazi kuwa Simba kuachana na matatizo mengine madogo madogo Simba ilikuwa na matatizo makubwa mawili golikipa na mshambuliaji wakati. Aliyefanya usajili pale Simba hakuwatendea haki kabisa wanasimba kwani haya matatizo mawili hayakutibiwa kabisa
Wakati ligi inakaribia kuisha msimu uliopita kila mtu hata asiyejua mpira alikuwa anajuwa wazi kuwa Simba kuachana na matatizo mengine madogo madogo Simba ilikuwa na matatizo makubwa mawili golikipa na mshambuliaji wakati. Aliyefanya usajili pale Simba hakuwatendea haki kabisa wanasimba kwani haya matatizo mawili hayakutibiwa kabisa
Kufika 1/2 kwa squad ya Keltso na Doumbia ni utapeliMakipa hawa wa kuipeleka Simba 1/2 fainali ya CAF?
Hivi Mooo amewapa nini hawa wekundu?Kufika 1/2 kwa squad ya Keltso na Doumbia ni utapeli
Nimechoka simba kama ccm sasa nipo mwenyeweMagolikipa wa Simba Hussein Abel, Kasali, Yakuob Lakren mgonnjwa na hatorudi karibuni , so hawa wote si level ya Simba .
Ally Salum aliondoka, alilazimika maana hakupata namba.
Simba itaendelea "kuchikichiwa" au "kutiwa kidude" mpaka watakaposajili magolikipa .
Aliyemsajili Dumbia ni yule bwana mwenye ofisi zake pale "moroko skwea"Simba ni Timu yangu ila imejaa wajinga wengi ,haiwezekani Maema akasaini mkataba mamelod afu ndo arudi aje Kwa mkopo ( hii ilikuwa nafasi ya kumsajili mchezaji mwenye uwezo na umri mdogo kwenye eneo la namba 6),, na Usajili wa mtu kama Doumbia umefanywa na MTU mjinga kabisa na kama haya ni mapendekezo ya kocha basi huyo kocha ni hopeless kabisa
Dini na chama unaweza kuhama ila Timu huwezi.Nimechoka simba kama ccm sasa nipo mwenyewe
Simba tia maji tia maji, wafanye umafia tu wapore kipa wa Yanga.Kweli Simba hawako serious kwenye goal keeping position.
Bado hawajapata mbadala wa Kamara.