amadala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,265
- 12,268
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa nini mnawachukia hawa wachezaji? Ningependa sababu ya kiufundiKwa kauli hii Mugalu na Kagere tutaendelea kuwa nao msimu ujao
MAKOLO bana[emoji23]Habari Wadau!
Kama kichwa kinavyojieleza na Mkurugenzi wetu amemaliza, ujumbe kwa wale wanaoona tunachelewa kumaliza usajili wa wachezaji ni hivi,"HATUSAJILI KIHOLELA,TUNASAJILI KWA MPANGILIO"
Uzi tayari
Ni wachezaji wazuri sana ila level ya performance yao imeshuka sana......Mugalu hajiamini katika uchezaji wake na Kagere ni jua la jioni tayarikwa nini mnawachukia hawa wachezaji? Ningependa sababu ya kiufundi
HII KAULI TUTAIPIMA MWISHO WA MSIMU WA 22/23 tutaona mlichosema ni kweli?Habari Wadau!
Kama kichwa kinavyojieleza na Mkurugenzi wetu amemaliza, ujumbe kwa wale wanaoona tunachelewa kumaliza usajili wa wachezaji ni hivi,"HATUSAJILI KIHOLELA,TUNASAJILI KWA MPANGILIO"
Uzi tayari
Tunachoomba atutaki kuja kusikia mara gsm anatembeza bahasha, mara marefa wanahongwa, mara wachezaji wetu wanakamiwa, atutaki kuja kusikia ujinga wa namna iyo kila timu itavuna ilichopanda, uwezi kupanda bangi ukategemea kuvuna mahindi utakuwa ni punguaniHabari Wadau!
Kama kichwa kinavyojieleza na Mkurugenzi wetu amemaliza, ujumbe kwa wale wanaoona tunachelewa kumaliza usajili wa wachezaji ni hivi,"HATUSAJILI KIHOLELA,TUNASAJILI KWA MPANGILIO"
Uzi tayari
KabisaaTunachoomba atutaki kuja kusikia mara gsm anatembeza bahasha, mara marefa wanahongwa, mara wachezaji wetu wanakamiwa, atutaki kuja kusikia ujinga wa namna iyo kila timu itavuna ilichopanda, uwezi kupanda bangi ukategemea kuvuna mahindi utakuwa ni punguani
Majibu mwisho wa msimuZa kuambiwa changanya na za kwako
Simba wamemuuza Bwalya wameenda Kumnunua Nasoro Kapama Kagera
Simba ambayo msimu huu safu yake imekuwa butu imeenda kununua mchezaji aliyeshusha timu daraja huko Mbeya,
Timu imekuwa inaokotaokota wachezaji.
Waeleze tu kwa uwazi, hela imekata hamna mipango wala nini
poaSawa👍
Waambie!! Wanaamini CV ya Aziz Ki hakuna anaefikiaKumbe Simba wamesajili kapama tuu? Simba hawajasajiri mfungaji bora namba mbili nchini Zambia na Mfungaji bora namba tatu nchini Ghana ? Okrah ana statistics nzuri kuliko hata Aziz ki sema watu wameamua kujichagulia kasehemu kakupigia kelele tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Achana nao hao,yanga kati ya wote waliosajiri aliyekua anacheza ni Aziz ki labda na Jiyce Lomalisa ila wote kuanzia morrison na wengine hawajacheza mechi za kimashindano zaidi ya miezi miwiliWaambie!! Wanaamini CV ya Aziz Ki hakuna anaefikia