Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Kama nilivyosema hapo juu hii simba itaendelea kuchezea vichapo mpaka akili za mashabiki wa simba ziamke kwamba muhindi na mpira wapi na wapi.
Wachezaji wote wa Simba usajili wao ni million 100 yaani mwaka huu Simba wametumia million 100 kusajili maana sio Kwa hii mizigo waliyoileta msimu huu inaenda kuichangia Yanga pointi 6 nyingine kama hamuamini tutakutana hapa hapa panapo uhai.
Simba Haina timu imejaza mizigo tu uwanjani ila sio wachezaji mfano ni mshambuliaji Mukwala huyu jamaa sio mchezaji wa mpira ni mkata mkaa nimehama Simba rasmi wananchi nipokeeni na Mimi nifurahi.