Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Sema Azam akicheza na Simba anapania na anakaza sana tofauti anapocheza na Yanga hasa kwenye mechi muhimu za maamuzi kama hii ya leo.Nilisema na nasema tena. Simba haimfungi Azam Zanzibar. Kupeleka kule ni mkakati Maalum
Azam kwao ni Zanzibar kama hamjui. Nimekaa hapa
Aliyemtoa Yanga kwenye nusu fainali ni nani kama Azam huwa haimkamii YangaSema Azam akicheza na Simba anapania na anakaza sana tofauti anapocheza na Yanga hasa kwenye mechi muhimu za maamuzi kama hii ya leo.
Angalia ile ya ligi waliocheza dhidi ya Yanga last time, walikua kama watoto wa UMITASHUMTA au UMISETA, sijui kwanini au ndio mabifu ya SSB na MO!!!
Madhara ya utumiaji wa Visungura hayaNilisema na nasema tena. Simba haimfungi Azam Zanzibar. Kupeleka kule ni mkakati Maalum
Azam kwao ni Zanzibar kama hamjui. Nimekaa hapa
Mtu wa hovyo lazima nyuzi zake ziwe za hovyo tuNilisema na nasema tena. Simba haimfungi Azam Zanzibar. Kupeleka kule ni mkakati Maalum
Azam kwao ni Zanzibar kama hamjui. Nimekaa hapa
Mtu wa hovyo lazima nyuzi zake ziwe za hovyo tu
Ushapasuliwa mayai nyuma sasa unatapatapaKia driz chako kinakupwita. Simba kafunga goal? Mfungaji nani?
Nazungumzia maranyingi (generally)Aliyemtoa Yanga kwenye nusu fainali ni nani kama Azam huwa haimkamii Yanga
Leta matokeo, nani kachukua ubingwa..?Utabiri wako umetimia sio...?!Nilisema na nasema tena. Simba haimfungi Azam Zanzibar. Kupeleka kule ni mkakati Maalum
Azam kwao ni Zanzibar kama hamjui. Nimekaa hapa
Ushapasuliwa mayai nyuma sasa unatapatapaUshapasuliwa mayai nyuma sasa unatapatapa
Leta matokeo, nani kachukua ubingwa..?Utabiri wako umetimia sio...?!
Mbona kisha chukua.
Ushapasuliwa mayai nyuma ute umetapakaa unaona aibu sasaUshapasuliwa mayai nyuma sasa unatapatapa
Kweli kabisaNilisema na nasema tena. Simba haimfungi Azam Zanzibar. Kupeleka kule ni mkakati Maalum
Azam kwao ni Zanzibar kama hamjui. Nimekaa hapa
Sijui sijafuatia hiyo mechi...! Nimeona huu uzi wako, so naamini mechi umefuatilia vyema, so leta matokeo au mechi bado haijaisha?Nani kashinda?
Sawa cha muhimu usiukimbie uzi wakoNilisema na nasema tena. Simba haimfungi Azam Zanzibar. Kupeleka kule ni mkakati Maalum
Azam kwao ni Zanzibar kama hamjui. Nimekaa hapa
Una la kusemaNilisema na nasema tena. Simba haimfungi Azam Zanzibar. Kupeleka kule ni mkakati Maalum
Azam kwao ni Zanzibar kama hamjui. Nimekaa hapa
OGBao la Simba kafunga nani?