Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Usiwe mpiga ramli mpira Dk 90Licha ya ushindi wa leo wa kununua baadhi ya wachezaji wa mbao, mechi yenu dhidi ya Toto Africans wana kishamapanda hamtochomoka kwani nina uhakika mtalala kwa mabao 2-0.
Siku hiyo hamtopata hata goli la offside achilia mbali goli la kununua na ndio itakuwa tiketi rasmi ya Ubingwa kwa Yanga.
mtanyolewa maana hakuna namnaUsiwe mpiga ramli mpira Dk 90
kakojoe ulaleLicha ya ushindi wa leo wa kununua baadhi ya wachezaji wa mbao, mechi yenu dhidi ya Toto Africans wana kishamapanda hamtochomoka kwani nina uhakika mtalala kwa mabao 2-0.
Siku hiyo hamtopata hata goli la offside achilia mbali goli la kununua na ndio itakuwa tiketi rasmi ya Ubingwa kwa Yanga.
lazma mkeketwekakojoe ulale
nani kanunua kandambili weweLicha ya ushindi wa leo wa kununua baadhi ya wachezaji wa mbao, mechi yenu dhidi ya Toto Africans wana kishamapanda hamtochomoka kwani nina uhakika mtalala kwa mabao 2-0.
Siku hiyo hamtopata hata goli la offside achilia mbali goli la kununua na ndio itakuwa tiketi rasmi ya Ubingwa kwa Yanga.
Umeumia sanamtanyolewa maana hakuna namna
hahaha...Mkuu mbona povu jingi namna hii, ulikua umebet nini?
Kama tulivyomfunga Yanganipeni matokeo ya Simba wakuu
Simba 3 - 2 Mabanzinipeni matokeo ya Simba wakuu