Simba hamtoki mechi ya Toto Africans

Simba leo ilikuwa inakufa, shukran kwa golikipa na mwamuz. Afu mnataka tufuzu kombe la dunia kwa upuuzi huuu
 
Unaota nn mkuu? Jifinye kwanza tuone
 
Simba leo ilikuwa inakufa, shukran kwa golikipa na mwamuz. Afu mnataka tufuzu kombe la dunia kwa upuuzi huuu
Hao wote walikosa nini labda? Acha fitina utakuja kuwa mchawi usipokaa sawa... Wachezaji wa mbao waliona wameshinda wakarudi kupaki bus, kila muda wanalala hovyohovyo tu na ujue zile dk ilipaswa ziwe 10 na kuendelea.. Punguza mihemko utaelewa tu
 
Unadai mechi ya Mbao ilinunuliwa halafu unadai tena Simba itafungwa na Toto 2-0. Tukisema na wewe unanunua wachezaji wa Simba ili ifungwe tutakosea kweli?
 
Unadai mechi ya Mbao ilinunuliwa halafu unadai tena Simba itafungwa na Toto 2-0. Tukisema na wewe unanunua wachezaji wa Simba ili ifungwe tutakosea kweli?
Ndiyo walewaleeee, watapatikana kabla ya Jumapili.
 
Tupe matokeo.
 
Vipi wametoka au hawakutoka kama ulivyoota huku unatembea? Yanga bwana umepigwa 4G leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…