Simba hapo vipi??

Simba hapo vipi??

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Unaweza kuona ni makosa madogo lakini ni makubwa kwa ukubwa wa Simba na hadhi ya mkutano wenyewe!

Inked“Tunataka kuwa mabingwa wa ndani na nje ya uwanja. Tulianzisha WhatsApp channel wakawa wa...jpg
 
Simba hawajielewi, mkutano mkuu unakuwa Kama mko kanisani au msikitini, sijaona mtu yoyote akihoji Ila baada ya siku mbili utasikia watu kwenye redio, magazeti wanaanza kuhoji Mambo ambayo kimsingi yalitakiwa yahojiwe kwenye mkutano mkuu.
Mwaka Jana Simba walitangaza bajeti ya bilioni 13 lakini bada ya yanga kufanya mkutano wao na bajeti kuwa kubwa kuliko ya Simba CEO wake akaibuka na bajeti tofauti kuonyesha Simba Wana bajeti kubwa kuliko yanga kitu ambacho sio cha ukweli.
Simba ilianzisha mchango kwa ajili ya kujenga uwanja, Leo wanasema pesa zimejenga uzio na watu wanapiga makofi lakini wameshindwa kuhoji naninaliyebadilisha matumizi ya hizo pesa na pia Simba Wana mpango gani wa kujenga viwanja.
Mapato ya jengo la Msimbazi Kila mwaka ni milioni 500 hakuna mkakati wowote wa kuyaongeza Wala kujenga jengo la kisasa.
Simba inajisifu kukusanya bilioni 15 lakini umeshindwa kupata udhamini wa benki hata moja pamoja na kuwa na kiasi kikubwa cha pesa.
Mapato ya wadhamini hayajatolewa ufafanuzi hata mkataba wa kuweka logo kifuani kwa mashindano ya Afrika haujawekwa wazi.
Mauzo ya wachezaji mfano Sackho hayajawekwa wazi.
Kikao Kama like kisingechukua muda mfupi yaani hata mafanikio wanayotangaziwa hayaendani na ukubwa wa Simba .
 
Umeongea vitu vya maana sana
 
Hebu angalia hii clip fupi
Kwa kifupi simba kuanzia muwekezaji Mudi na viongozi wote matapeli
 
Attachments

  • Gery_Gerrald_20240121__1749036613156425994_1_17490365017137438720.mp4
    2.2 MB
Unaweza kuona ni makosa madogo lakini ni makubwa kwa ukubwa wa Simba na hadhi ya mkutano wenyewe!

View attachment 2879269
Kwa Simba hayo makosa yanafanyikaga sana. Tunaposema Simba hakuna weledi katika ngazi ya uongozi muwe mnatuelewa. Baadae nikipata muda nitatuma screenshots mbili tatu kuonyesha haya makosa wanafanyaga sana tena hii utaona afadhali.
 
Simba hawajielewi, mkutano mkuu unakuwa Kama mko kanisani au msikitini, sijaona mtu yoyote akihoji Ila baada ya siku mbili utasikia watu kwenye redio, magazeti wanaanza kuhoji Mambo ambayo kimsingi yalitakiwa yahojiwe kwenye mkutano mkuu.
Mwaka Jana Simba walitangaza bajeti ya bilioni 13 lakini bada ya yanga kufanya mkutano wao na bajeti kuwa kubwa kuliko ya Simba CEO wake akaibuka na bajeti tofauti kuonyesha Simba Wana bajeti kubwa kuliko yanga kitu ambacho sio cha ukweli.
Simba ilianzisha mchango kwa ajili ya kujenga uwanja, Leo wanasema pesa zimejenga uzio na watu wanapiga makofi lakini wameshindwa kuhoji naninaliyebadilisha matumizi ya hizo pesa na pia Simba Wana mpango gani wa kujenga viwanja.
Mapato ya jengo la Msimbazi Kila mwaka ni milioni 500 hakuna mkakati wowote wa kuyaongeza Wala kujenga jengo la kisasa.
Simba inajisifu kukusanya bilioni 15 lakini umeshindwa kupata udhamini wa benki hata moja pamoja na kuwa na kiasi kikubwa cha pesa.
Mapato ya wadhamini hayajatolewa ufafanuzi hata mkataba wa kuweka logo kifuani kwa mashindano ya Afrika haujawekwa wazi.
Mauzo ya wachezaji mfano Sackho hayajawekwa wazi.
Kikao Kama like kisingechukua muda mfupi yaani hata mafanikio wanayotangaziwa hayaendani na ukubwa wa Simba .
Nilisikiliza hotuba ya mhasibu nikabaki tu kusikitika.
 
Hayo mafanikio sasa yalivyoungwa ungwa mpaka yanastaajabisha. Visit Zanzibar nayo ni mafanikio? Kuna pesa Simba imeingiza au ni vipi iwe ni mafanikio?
 
Simba hawajielewi, mkutano mkuu unakuwa Kama mko kanisani au msikitini, sijaona mtu yoyote akihoji Ila baada ya siku mbili utasikia watu kwenye redio, magazeti wanaanza kuhoji Mambo ambayo kimsingi yalitakiwa yahojiwe kwenye mkutano mkuu.
Mwaka Jana Simba walitangaza bajeti ya bilioni 13 lakini bada ya yanga kufanya mkutano wao na bajeti kuwa kubwa kuliko ya Simba CEO wake akaibuka na bajeti tofauti kuonyesha Simba Wana bajeti kubwa kuliko yanga kitu ambacho sio cha ukweli.
Simba ilianzisha mchango kwa ajili ya kujenga uwanja, Leo wanasema pesa zimejenga uzio na watu wanapiga makofi lakini wameshindwa kuhoji naninaliyebadilisha matumizi ya hizo pesa na pia Simba Wana mpango gani wa kujenga viwanja.
Mapato ya jengo la Msimbazi Kila mwaka ni milioni 500 hakuna mkakati wowote wa kuyaongeza Wala kujenga jengo la kisasa.
Simba inajisifu kukusanya bilioni 15 lakini umeshindwa kupata udhamini wa benki hata moja pamoja na kuwa na kiasi kikubwa cha pesa.
Mapato ya wadhamini hayajatolewa ufafanuzi hata mkataba wa kuweka logo kifuani kwa mashindano ya Afrika haujawekwa wazi.
Mauzo ya wachezaji mfano Sackho hayajawekwa wazi.
Kikao Kama like kisingechukua muda mfupi yaani hata mafanikio wanayotangaziwa hayaendani na ukubwa wa Simba .
Umewapa vyura topic ya wiki nzima...
 
Vyura dimbwini.

krooo kreooow kruuuuw.

Makelele.
 
Vyura dimbwini.

krooo kreooow kruuuuw.

Makelele.
Ndio nyie Rage alikuwa anawazungumzia. Kama hamtaki kukosoana basi msahau kuja kuinuka hivi karibuni. Endeleeni kuleana
 
Simba hawajielewi, mkutano mkuu unakuwa Kama mko kanisani au msikitini, sijaona mtu yoyote akihoji Ila baada ya siku mbili utasikia watu kwenye redio, magazeti wanaanza kuhoji Mambo ambayo kimsingi yalitakiwa yahojiwe kwenye mkutano mkuu.
Mwaka Jana Simba walitangaza bajeti ya bilioni 13 lakini bada ya yanga kufanya mkutano wao na bajeti kuwa kubwa kuliko ya Simba CEO wake akaibuka na bajeti tofauti kuonyesha Simba Wana bajeti kubwa kuliko yanga kitu ambacho sio cha ukweli.
Simba ilianzisha mchango kwa ajili ya kujenga uwanja, Leo wanasema pesa zimejenga uzio na watu wanapiga makofi lakini wameshindwa kuhoji naninaliyebadilisha matumizi ya hizo pesa na pia Simba Wana mpango gani wa kujenga viwanja.
Mapato ya jengo la Msimbazi Kila mwaka ni milioni 500 hakuna mkakati wowote wa kuyaongeza Wala kujenga jengo la kisasa.
Simba inajisifu kukusanya bilioni 15 lakini umeshindwa kupata udhamini wa benki hata moja pamoja na kuwa na kiasi kikubwa cha pesa.
Mapato ya wadhamini hayajatolewa ufafanuzi hata mkataba wa kuweka logo kifuani kwa mashindano ya Afrika haujawekwa wazi.
Mauzo ya wachezaji mfano Sackho hayajawekwa wazi.
Kikao Kama like kisingechukua muda mfupi yaani hata mafanikio wanayotangaziwa hayaendani na ukubwa wa Simba .
Kwanini umetoa mfano wa msikitini na kanisani?
 
Ndio nyie Rage alikuwa anawazungumzia. Kama hamtaki kukosoana basi msahau kuja kuinuka hivi karibuni. Endeleeni kuleana
Kuinuka kwenda wapi? Krooo kroooo
 
Back
Top Bottom