Simba hatimaye kujiendesha kihasara

Simba hatimaye kujiendesha kihasara

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Simba imesajili wachezaji wengi wa kigeni na kuwapa mikataba minono ya kifedha huku wakitegemea kufika ktk hatua kubwa ya klabu bingwa ambayo imekuwa ni chanzo kikubwa cha sehemu ya mapato sasa tutarajie kuiona simba wakivurugana maana wengi wa viongozi wao wapo pale kwa masirahi Kumbukeni MO ni mfanyabiashara huwezi kukubali hasara ya namna hyo
 
Wamatopeni Wale Wana Maneno Mengi Kabla Ya Matokeo.

Wakimataifa Wacha Tuendelee Taratibu Kimya Kimya[emoji23]
 
Back
Top Bottom