Shalom shalom
Kwasisi watu wa Pwani tunaojua maana ya neno ubaya ubwela, tunajua uzito wa hili neno na maana yake hasa Kwenye masuala ya upande wa giza.
Simba abadili msemo au aendelee kuteseka, mm kama mwanajangwani kwasasa nimejawa na roho ya huruma hivo ningependa wapate chochote msimu huu.
YANGA BINGWA