Simba hatuna mashabiki wa kulialia, hao wapo huko..

Simba hatuna mashabiki wa kulialia, hao wapo huko..

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
“Simba sasa hivi hatuna mashabiki lialia Kwa sababu simba hatuliilii lakini tuna mashabiki wa kufurahia, Lialia timu nyingine hizo zenye maisha magumu,” kauli ya Ahmed Ally, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba.
 
Vijana hamna kazi mnashinda mitandaon kuvizia mambo yakipuuzi na kuyaleta jamiifirom 😀.

Sasa hili ni suala lakuleta hapa??.
Huyo ameajiriwa kusema hivyo hamna ajabu.
 
Simba wanatabia ya kupambana mpaka kinaeleweka sio watu wakulalalam. gsm kutema ngese sio mchezo.
 
“Simba sasa hivi hatuna mashabiki lialia Kwa sababu simba hatuliilii lakini tuna mashabiki wa kufurahia, Lialia timu nyingine hizo zenye maisha magumu,” kauli ya Ahmed Ally, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba.
giphy.gif
 
imekuum
Vijana hamna kazi mnashinda mitandaon kuvizia mambo yakipuuzi na kuyaleta jamiifirom 😀.

Sasa hili ni suala lakuleta hapa??.
Huyo ameajiriwa kusema hivyo hamna maajabu
tulia dawa ikuingie
 
Ndio ni Kweli Ligi Tunaongoza...Lakini Kwa Mateso Makali haya...Huyu Mtoto Barbra Katukalia Kooni yaani Maji hayapiti...!
 
Back
Top Bottom