John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
“Simba sasa hivi hatuna mashabiki lialia Kwa sababu simba hatuliilii lakini tuna mashabiki wa kufurahia, Lialia timu nyingine hizo zenye maisha magumu,” kauli ya Ahmed Ally, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba.
tulia dawa ikuingieVijana hamna kazi mnashinda mitandaon kuvizia mambo yakipuuzi na kuyaleta jamiifirom 😀.
Sasa hili ni suala lakuleta hapa??.
Huyo ameajiriwa kusema hivyo hamna maajabu