Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,231
Huyu hajui mpira wala sheria zake ni wale mashabiki wa kijiweni wenye kelele tu.African Lyon waliweka kipengele chochote wakati wanamuuza Samatta kwa Simba? Shida inaanzia hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha dah mkuu hebu naomba niwekee hapa kifungu hicho cha sheria kinachotaka kila mchezaji akihama team zote alizochezea zipewe mgawo. Au nipe hata link mahali hiyo sheria ilipo nikaongeze maarifa ya soka.
Nachoweza kukuambia ukileta hicho kifungu cha sheria hapa basi leo leo naacha kushabikia soka. Dah mda mwingine chuki inafanya akili za watu zinakuwa full of shonde
Mzew mchezaji akiuzwa pesa inagaiwa mpaka academy aliyotoka nadhani hulijui hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
mtoa mada unajua ulichokiandika kwa usahihi??Mzew mchezaji akiuzwa pesa inagaiwa mpaka academy aliyotoka nadhani hulijui hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee hicho kifungu kipo ila timu zinazolipwa ni zile alizochezea kabla hajafikisha miaka 24, maanayake mwisho miaka 23, pia simba wana kifungu chao kingine walikiweka kwenye mkataba pia kitawapa mtonyoHahaha dah mkuu hebu naomba niwekee hapa kifungu hicho cha sheria kinachotaka kila mchezaji akihama team zote alizochezea zipewe mgawo. Au nipe hata link mahali hiyo sheria ilipo nikaongeze maarifa ya soka.
Nachoweza kukuambia ukileta hicho kifungu cha sheria hapa basi leo leo naacha kushabikia soka. Dah mda mwingine chuki inafanya akili za watu zinakuwa full of shonde
Chukua hii accademy level inaishia miaka 23 baada ya hapo mikataba ndio inaamua mchezaji alikotoka club inalipwa nini.Mzew mchezaji akiuzwa pesa inagaiwa mpaka academy aliyotoka nadhani hulijui hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma post ya mleta uzi mkuu?Mzee hicho kifungu kipo ila timu zinazolipwa ni zile alizochezea kabla hajafikisha miaka 24, maanayake mwisho miaka 23, pia simba wana kifungu chao kingine walikiweka kwenye mkataba pia kitawapa mtonyo
Ndio nimesoma, nimekushangaa wewe uliyesema ukiletewa hiyo sheria unaacha kushabikia sokaUmesoma post ya mleta uzi mkuu?
Kama umesoma bandiko la mleta mada basi hujaelewa alichoandika mkuu. Soma tena. Kisha fikiria hili neno ukishamaliza kusoma 'exception'.Ndio nimesoma, nimekushangaa wewe uliyesema ukiletewa hiyo sheria unaacha kushabikia soka
Sielewi tunaposhindwa kuelewana mimi na wewe ni wapi? Mtoa mada anataka simba wasipewe hela kwakuwa walishapata mgao mwanzo na anataka African lyon ndio wapewe kwakuwa hawakupata mwanzo anasahau hizo pesa zipo kisheria na kama hawakupata mwanzo ni uzembe wao simba hausiki kwenye uzembe wao, pili nilikushangaa wewe uliposema ukiletewa hicho kifungu kinachosema kuwa timu alizopitia mchezaji kabla hajafikisha miaka 24 wanapaswa kulipwa 5% ya ada ya uhamisho unaacha kushabikia sokaKama umesoma bandiko la mleta mada basi hujaelewa alichoandika mkuu. Soma tena. Kisha fikiria hili neno ukishamaliza kusoma 'exception'.
Je mleta mada ameweka exception ya umri? Nilikupa clue hukujiongeza. Anyways tufunge mjadala.Sielewi tunaposhindwa kuelewana mimi na wewe ni wapi? Mtoa mada anataka simba wasipewe hela kwakuwa walishapata mgao mwanzo na anataka African lyon ndio wapewe kwakuwa hawakupata mwanzo anasahau hizo pesa zipo kisheria na kama hawakupata mwanzo ni uzembe wao simba hausiki kwenye uzembe wao, pili nilikushangaa wewe uliposema ukiletewa hicho kifungu kinachosema kuwa timu alizopitia mchezaji kabla hajafikisha miaka 24 wanapaswa kulipwa 5% ya ada ya uhamisho unaacha kushabikia soka
Umesoma post ya mleta uzi mkuu?
Watamtia gundu Mbwana, usajili wenyewe bado huku wameshaanza kupigia mahesabu mpunga!
Mzew mchezaji akiuzwa pesa inagaiwa mpaka academy aliyotoka nadhani hulijui hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app