Simba hawezi kuwa bingwa msimu huu 2024/2025

Simba hawezi kuwa bingwa msimu huu 2024/2025

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Sitaongelea kuhusu kubebwa na kushinda kimipango, hilo lipo wazi kila mwenye utima analiona wazi

1. Simba inakuzwa tu, ila wachezaji ni averaged players. Yaani wana hadhi ya kucheza Pamba Jiji au Ken Gold

2. Wachezaji wanakata moto

Fitness ya wachezaji wa Simba ipoc chini mno, yaani nawaza tu Yanga ndo tupate mechi Leo na Simba yenye Ngoma, Awesu, beki Hamza🤣

3 Bado Simba hajacheza na (Yanga)

Kwa hasira tulizinazo tutawapiga mara ya 5 mfululizo na ushindi wa goli za kutosha

4. Mchezo wa bahasha za Mo Kwa marefa Sasa upo dhahiri

5 Coach Fadlu Kwa mbinu zake na sub zake za ovyo, atapigika kama Ngoma ya kitongoji

6. Tumewapumbaza watani wanashinda Kwa bahati, Sasa subiri mzunguko wa pili ndo mtajua

Merry Christmas

Yanga bingwa 🏆
 
downloadfile-1.png
 
Back
Top Bottom