Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Tutapigwa si chini ya naneSijui tunafeli wapi tukiwa ugenini wachezaji wanapata karibia kila kitu lakini matokeo yake hawajitumi,Hadi dk hii nakwenda kulala tumeshapigwa na mwarabu 5 daah
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani tuendelee tu kuzihesabu [emoji23][emoji23][emoji23]
Simba hawana timu ya kushindana CAF, hata kocha ni wa kiwango cha chini. Timu haina muunganikoSijui tunafeli wapi tukiwa ugenini wachezaji wanapata karibia kila kitu lakini matokeo yake hawajitumi,Hadi dk hii nakwenda kulala tumeshapigwa na mwarabu 5 daah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ebu Nipe matokeoSimba hawana timu ya kushindana CAF, hata kocha ni wa kiwango cha chini. Timu haina muunganiko
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Utapata huo usingizi kweli?Sijui tunafeli wapi tukiwa ugenini wachezaji wanapata karibia kila kitu lakini matokeo yake hawajitumi,Hadi dk hii nakwenda kulala tumeshapigwa na mwarabu 5 daah
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]Mpaka sasa ni "KHAMSA" half time