sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
"Mnyama afanya usajili katikati ya ligi".. ndivyo pia waweza kusema.. Na hii ni baada ya ITC ya yule kiungo bora kabisa toka "kwa wanaojua" nchini Kongo.. Mussa Ndusha kupata baraka zote toka TFF kuanza kuitumikia Simba S.C.
Hii inamfanya kiungo huyo mwenye sifa za "kupiga pasi rula", "pita wewe mpira uuache", "uwezo mkubwa wa kumiliki mpira", "uwezo mkubwa wa kufunga" kua huru kucheza mechi zozote zile zinazotambulika na;
1. TFF [ambazo ni ligi kuu na kombe la FA]
2. CAF [ambazo ni kombe la klabu bingwa barani Africa, mwaka 2018]
3. FIFA [za michuano ya mabingwa wa mabara kwa levo ya vilabu, mwaka 2018].
Usajili huu unafanya dimba la kati la Simba S.C liwe na mafundi hawa;
1. Jonas Mkude 'Le Captain'
2. Mzamiru Yassin
3. Mohamed Ibrahim 'Mo'
4. Said Ndemla
5. Mwinyi Kazimoto 'Ball Dancer'
6. Awadh Juma 'Mtani Jembe'
7. Mussa Ndusha
Kwa upinzani huu uliopo katika nafasi hii ya kiungo... wapinzani wetu wakuu msimu huu [Stand United, Mtibwa na Prisons] mjipange kisawasawa, maana la sivyo tutawaacha hata gepu la pointi 10.