Simba hii.. Jeuri Tupu: Yasajili Kipindi Ligi Inaendelea.

Kiukweli Ndusha anajua,aweze tu kwenda na mfumo wa mwalimu.
 
Hiiiiiiiii! Kwa Usajili huu....!! Chaneta FC sasa Nawashauri tu lile dimbwi lao la Jangwani Waligeuze Swimming Pool Watengeze Timu Ya Waogeleaji lakini Si Football tena....
By the way pia wapo Huru timu Kuigeuza Kuwa Ya Volleyball na Tambwe atakua Attacker Wao Mzuri...
 
Simba hii imejitosheleza sio ile iliyotolewa kama masuria
 
Mtani leo tumeshinda goli 6 mtani hakuna hofu yoyote uliyoipata mtani?[emoji1][emoji1] [emoji23] [emoji23]
Usikasirike, mimi na wewe ni watani
Mtani, kamwe siwezi kupata hofu na matokeo ya kupanga.
Hebu pitia hapa [emoji116] [emoji116]


 
Taifa stars kupata hata nafasi ya kushiriki kombe la afrika ndoto saaana..
 
Alafu mikia ni shida tupu kwakweli hivi kushinda vimechi vya dar na kule mbeya mnajiona mmeiiiivaa jiandaen na viwanja vya mikoani raund ya pili wakat huo wenye nembo ya ubingwa watakapokuwa wakijiachia dar
 
Alafu mikia ni shida tupu kwakweli hivi kushinda vimechi vya dar na kule mbeya mnajiona mmeiiiivaa jiandaen na viwanja vya mikoani raund ya pili wakat huo wenye nembo ya ubingwa watakapokuwa wakijiachia dar

Hiyo Nembo unayoizungumzia wewe sasahivi itakuwa inamilikiwa na Manji anataka kuikodi Kwa Miaka 10... sasa wewe endelea kuweweseka Na Matumaini Yako Ya Bandia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…