Sisi tunapiga kotekote dar mikoani piga tuuAlafu mikia ni shida tupu kwakweli hivi kushinda vimechi vya dar na kule mbeya mnajiona mmeiiiivaa jiandaen na viwanja vya mikoani raund ya pili wakat huo wenye nembo ya ubingwa watakapokuwa wakijiachia dar
TatuMavugo ana goli ngapi wakuu?
Mkuu wewe huna mdomo? Chakula unapitishia makalioni au wapi??Huyu sembo ana mdomo sana ngoja tusubiri ligi iendelee
Du. Lugha unayotumia osokoni siwezi kushuka mpaka huko.Mkuu wewe huna mdomo? Chakula unapitishia makalioni au wapi??