Simba hii sio ya kufungwa na Yanga hii, ikitokea ntaenda kujizika hai kwetu Chumbageni

Singida anawachapa sasa hivi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabla hujajiuwa, hakikisha unanipa mualiko wa kuhudhiria mazishi yako na mimi niwe msoma wasifu wa marehemu
 
Comments reserved
 

Hapa unaonyesha jinsi hujui mpira hata kidogo na akili huna pia.
 
Hii ndio Simba ya uturuki?[emoji1787]
 
Jumapili siyo mbali. Ila nakushauri acha ujuha. This is just a game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…