Simba hii tema mate chini na juu, labda tushindwe kwenye ushirikina lakini hakuna wa kuikabili Afrika hii

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Aisee hili kosi la Simba limebakisha jambo moja t, kuwa na kamati nzuri ya ufundi ambayo itahakikisha ftina na figisu za mwanadamu hazifanikiwi, golini mcameroon, kulia kapombe kushoto Zimbwe, nne inonga, dala Che Malone, sita Fabrice ngoma, winga micquisone winga onana, nane chama, tisa Baleke au Chilunda kumi Phiri au Saido.

Huko benchi mama yangu.
 
Yaani nyie eti Afrika kwa wachezaji wenu wa kuokota okota.Tanzania usajili tuna subiri mafree agent na majeruhi hebu angalia mwanaume humu, Ahly mchezaji mmoja kwa usd 3.5m.
Screenshot_20230719_201514_Instagram.jpg

Kwa Tz hamna club iliyo tumia hela za usajili kufikia robo ya gharama za huyo mchezaji aliye sajili na Al Ahly.Simba na Yanga wewe subiria mechi tano zipite ndipo uanze kusema mmefanya usajili wa maana ukifanya masihala robo tatu ya wachezaji walio sajili wakawa wa kawaida mno.
 
Yaani nyie eti Afrika kwa wachezaji wenu wa kuokota okota.Tanzania usajili tuna subiri mafree agent na majeruhi hebu angalia mwanaume humu, Ahly mchezaji mmoja kwa usd 3.5m.
View attachment 2696086
Kwa Tz hamna club iliyo tumia hela za usajili kufikia robo ya gharama za huyo mchezaji aliye sajili na Al Ahly.Simba na Yanga wewe subiria mechi tano zipite ndipo uanze kusema mmefanya usajili wa maana ukifanya masihala robo tatu ya wachezaji walio sajili wakawa wa kawaida mno.
Hiyo Al Ahly yenyewe gharama ilizotumia zinafikia robo ya usajili wa Man United?

Kama haifikii ndo tuseme eti Ahly haijasajili?

Kila mtu na level yake kijana , Ahly ni mdogo kwa pesa kwa timu za EPL lakini ndiye giant wa bara la Africa.

Jifunze kutambua standard za maisha zinavyotugawa lakini kwa kila mmoja kufurahia standard yake.

Siku moja hata Simba itamsajili mchezaji wa bilion 7 kutoka popote ila kwa sasa si level yetu hiyo
 
Al Ahly ipo Afrika na Man Utd ipo ulaya? Je wanakutana saa ngapi? Al Ahly anashiriki michuano ya CAF, Man UEFA so wanakutana saa ngapi?

Tatizo lako umekurupuka, umesoma heading ya mwenzio aliye sema "...... hamna wa kuikabili Afrika.......",sasa ww umewaleta Man Utd kwani nao wapo Afrika.

Sijakataa kuhusu standard ila nilibishana na hicho kichwa cha habari.
 
Tunawaambia Kila siku Simba Ina Mashindano Mengi.

LIGI KUU.
FA.
CAFCL.
SUPER CUP.

Shida IPO kwenye Beki 5.
Na kiungo No 6.

Imejaza mawinga wasio na umuhimu
 
Hiyo Al Ahly yenyewe gharama ilizotumia zinafikia robo ya usajili wa Man United?

Kama haifikii ndo tuseme eti Ahly haijasajili?

Kila mtu na level yake kijana , Ahly ni mdogo kwa pesa kwa timu za EPL lakini ndiye giant wa bara la Africa.

Jifunze kutambua standard za maisha zinavyotugawa lakini kwa kila mmoja kufurahia standard yake.

Siku moja hata Simba itamsajili mchezaji wa bilion 7 kutoka popote ila kwa sasa si level yetu hiyo
Bonge la point hili!
 
Al Ahly ipo Afrika na Man Utd ipo ulaya? Je wanakutana saa ngapi? Al Ahly anashiriki michuano ya CAF, Man UEFA so wanakutana saa ngapi?

Tatizo lako umekurupuka, umesoma heading ya mwenzio aliye sema "...... hamna wa kuikabili Afrika.......",sasa ww umewaleta Man Utd kwani nao wapo Afrika.

Sijakataa kuhusu standard ila nilibishana na hicho kichwa cha habari.
Basi kama umekaza hutaki kumuelewa jamaa basi tulinganishe usajili au nguvu ya pesa kati ya sevila na PSG, zote zipo ulaya zote zinacheza uefa!

Mwamba yupo sawa, you have to understand your standards!

Au simba na prison si wote NBC, understand your standards wewe na bakheresa mnafanana kimaumbile kuwa wote bin adam ila kuna some standard mnazidiana kama pesa, utu, na mengine mengi, we umemzidi hiki yeye amekuzidi kile, understand your standards!
 
Nimuelewe vip mtu wakati ametoa mifano ambayo ni irrelevant CAF na UEFA kama ww umemuelewa hongera.
 
Aisee hili kosi la Simba limebakisha jambo moja t, kuwa na kamati nzuri ya ufundi ambayo itahakikisha ftina na figisu za mwanadamu hazifanikiwi, golini mcameroon, kulia kapombe kushoto Zimbwe, nne inonga, dala Che Malone, sita Fabrice ngoma, winga micquisone winga onana, nane chama, tisa Baleke au Chilunda kumi Phiri au Saido.

Huko benchi mama yangu.
Kwa kikosi hiki hamna hamna mpaka halftime Simba 6-0 Yanga,
ball possession Simba 90% - 10% Yanga
 
Back
Top Bottom