Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Yaani nyie eti Afrika kwa wachezaji wenu wa kuokota okota.Tanzania usajili tuna subiri mafree agent na majeruhi hebu angalia mwanaume humu, Ahly mchezaji mmoja kwa usd 3.5m.Aisee hili kosi la Simba limebakisha jambo moja t, kuwa na kamati nzuri ya ufundi ambayo itahakikisha ftina na figisu za mwanadamu hazifanikiwi, golini mcameroon, kulia kapombe kushoto Zimbwe, nne inonga, dala Che Malone, sita Fabrice ngoma, winga micquisone winga onana, nane chama, tisa Baleke au Chilunda kumi Phiri au Saido.
Huko benchi mama yangu.
Hiyo Al Ahly yenyewe gharama ilizotumia zinafikia robo ya usajili wa Man United?Yaani nyie eti Afrika kwa wachezaji wenu wa kuokota okota.Tanzania usajili tuna subiri mafree agent na majeruhi hebu angalia mwanaume humu, Ahly mchezaji mmoja kwa usd 3.5m.
View attachment 2696086
Kwa Tz hamna club iliyo tumia hela za usajili kufikia robo ya gharama za huyo mchezaji aliye sajili na Al Ahly.Simba na Yanga wewe subiria mechi tano zipite ndipo uanze kusema mmefanya usajili wa maana ukifanya masihala robo tatu ya wachezaji walio sajili wakawa wa kawaida mno.
Al Ahly ipo Afrika na Man Utd ipo ulaya? Je wanakutana saa ngapi? Al Ahly anashiriki michuano ya CAF, Man UEFA so wanakutana saa ngapi?Hiyo Al Ahly yenyewe gharama ilizotumia zinafikia robo ya usajili wa Man United?
Kama haifikii ndo tuseme eti Ahly haijasajili?
Kila mtu na level yake kijana , Ahly ni mdogo kwa pesa kwa timu za EPL lakini ndiye giant wa bara la Africa.
Jifunze kutambua standard za maisha zinavyotugawa lakini kwa kila mmoja kufurahia standard yake.
Siku moja hata Simba itamsajili mchezaji wa bilion 7 kutoka popote ila kwa sasa si level yetu hiyo
Bonge la point hili!Hiyo Al Ahly yenyewe gharama ilizotumia zinafikia robo ya usajili wa Man United?
Kama haifikii ndo tuseme eti Ahly haijasajili?
Kila mtu na level yake kijana , Ahly ni mdogo kwa pesa kwa timu za EPL lakini ndiye giant wa bara la Africa.
Jifunze kutambua standard za maisha zinavyotugawa lakini kwa kila mmoja kufurahia standard yake.
Siku moja hata Simba itamsajili mchezaji wa bilion 7 kutoka popote ila kwa sasa si level yetu hiyo
Basi kama umekaza hutaki kumuelewa jamaa basi tulinganishe usajili au nguvu ya pesa kati ya sevila na PSG, zote zipo ulaya zote zinacheza uefa!Al Ahly ipo Afrika na Man Utd ipo ulaya? Je wanakutana saa ngapi? Al Ahly anashiriki michuano ya CAF, Man UEFA so wanakutana saa ngapi?
Tatizo lako umekurupuka, umesoma heading ya mwenzio aliye sema "...... hamna wa kuikabili Afrika.......",sasa ww umewaleta Man Utd kwani nao wapo Afrika.
Sijakataa kuhusu standard ila nilibishana na hicho kichwa cha habari.
Nimuelewe vip mtu wakati ametoa mifano ambayo ni irrelevant CAF na UEFA kama ww umemuelewa hongera.Basi kama umekaza hutaki kumuelewa jamaa basi tulinganishe usajili au nguvu ya pesa kati ya sevila na PSG, zote zipo ulaya zote zinacheza uefa!
Mwamba yupo sawa, you have to understand your standards!
Au simba na prison si wote NBC, understand your standards wewe na bakheresa mnafanana kimaumbile kuwa wote bin adam ila kuna some standard mnazidiana kama pesa, utu, na mengine mengi, we umemzidi hiki yeye amekuzidi kile, understand your standards!
We unapenda ubishi tu ila umeelewaNimuelewe vip mtu wakati ametoa mifano ambayo ni irrelevant CAF na UEFA kama ww umemuelewa hongera.
Ubishi wangu upo wapi?Na lini nishawahi kukubishia bila reference.........We unapenda ubishi tu ila umeelewa
Kwa kikosi hiki hamna hamna mpaka halftime Simba 6-0 Yanga,Aisee hili kosi la Simba limebakisha jambo moja t, kuwa na kamati nzuri ya ufundi ambayo itahakikisha ftina na figisu za mwanadamu hazifanikiwi, golini mcameroon, kulia kapombe kushoto Zimbwe, nne inonga, dala Che Malone, sita Fabrice ngoma, winga micquisone winga onana, nane chama, tisa Baleke au Chilunda kumi Phiri au Saido.
Huko benchi mama yangu.