utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Sijui unaripoti kutokea Dubenga au uko wapi nikupe Wine kutoka Dodoma hapa....Klabu kubwa hapa afrika Simba mnyama mkali leo imetoshana nguvu na vigogo wa soka barani ulaya CSKA Moscow kwa kufungana magoli 2-2 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa huko Dubai.
Magoli yote mawili ya Mnyama mkali Simba yametiwa kimiani na Mshambuliaji mkali Habib kyombo (Halland wa bongo)
Baada ya kumaliza mechi zake za kimataifa za kirafiki, timu ya Simba itaanza safari ya kurudi nchini iyo kesho jumatatu kujiandaa na mchezo wa ligi ya Nbc dhidi ya mbeya city unaotarajia kupigwa jumatano ya tarehe 18/Jan
Na pi hatuna haja na Manzokichi tenaKyombo hatumuuzi.
Mna mashaka na utopolo og?? hana baya yy anasema ni mjumbe tuu 😆 😆 😆 😆Utakuwa Ahmed Ally wewe sio Kwa kuisemea Simba ki hivyo
Hilo liko wazi afunge asifunge...Simba ni walezi pia mjuee mnamfukuza kijana aende wapi na mlimpa mkataba wenyewe?Kyombo hatumuuzi.
Nimeokoka mkuu ila [emoji120][emoji120][emoji120]Sijui unaripoti kutokea Dubenga au uko wapi nikupe Wine kutoka Dodoma hapa....
Naona mmekubali mziki wa vijana. Nasikia bado kidogo Kyombo apige hat trick.Klabu kubwa hapa afrika Simba mnyama mkali leo imetoshana nguvu na vigogo wa soka barani ulaya CSKA Moscow kwa kufungana magoli 2-2 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa huko Dubai.
Magoli yote mawili ya Mnyama mkali Simba yametiwa kimiani na Mshambuliaji mkali Habib kyombo (Halland wa bongo)
Baada ya kumaliza mechi zake za kimataifa za kirafiki, timu ya Simba itaanza safari ya kurudi nchini iyo kesho jumatatu kujiandaa na mchezo wa ligi ya Nbc dhidi ya mbeya city unaotarajia kupigwa jumatano ya tarehe 18/Jan
Wine sio mbaya unakunywa kama ya kudijest tuu msosi after kula..kidogooNimeokoka mkuu ila [emoji120][emoji120][emoji120]
Tumeukubali Mzee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]... Simba ni tishio ukanda huu wa maziwa makuu,Afrika na Dunia Kwa ujumlaNaona mmekubali mziki wa vijana. Nasikia bado kidogo Kyombo apige hart trick.
Namaanisha hawa CSKA waliwazabua Real Madrid 3-0 kwaio kama Madrid ndio bingwa wa Ulaya basi hawa CSKA ni Wababe wa mabingwa wa ulaya. Ila [emoji120][emoji120] kwa mchango wako ulilenga kujengaAsante kwa taarifa.
Ila Moscow haipo Ulaya!
Hana unyama wowote,timu imefungiwa dunia,haijacheza mwaka mzima,mnatoa sare🏃
May ntakuja Dodoma kwa jambo la kitaifa ntakunywa huo mvinyo ww utunze tu maana naskia unavozidi kuzeeka ndio utamu wake unaongezeka[emoji1][emoji1][emoji1]Wine sio mbaya unakunywa kama ya kudijest tuu msosi after kula..kidogoo
Any way tumepokea ujumbe
Nitakupa box zimaMay ntakuja Dodoma kwa jambo la kitaifa ntakunywa huo mvinyo ww utunze tu maana naskia unavozidi kuzeeka ndio utamu wake unaongezeka[emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu Simba ni mnyama mkali inabidi ukubali tuHana unyama wowote,timu imefungiwa dunia,haijacheza mwaka mzima,mnatoa sare[emoji125]