Kocha wao si ndio alikua AS Vita , amefungwa mara 3 mfululizo na SimbaNaona watu wamechukulia kundi kirahisi ila mziki wa Berkane Kama unafuatilia mechi zao mpira wa kasi wanaocheza ni balaa
Al Ahly hachezi NBC Premier League, uwe unaelewa, Simba ni baba wa kaya NBC Premier LeagueBaba wa kaya analeta nini? Simba awe baba wa kaya na AL Ahly awe nani nyie mbumbumbu?
Hujawahi wewe. Halafu acha kufananisha Yanga na vitu vya kijinga(Namungo). 1998 alifika makundi CL,
hawa berkane wakutoa draw na APR ndio amsumbue Simba??? unaumwa korona wewe!Naona watu wamechukulia kundi kirahisi ila mziki wa Berkane Kama unafuatilia mechi zao mpira wa kasi wanaocheza ni balaa
Kumbe ndiyo maana haya majamaa yameshiriki CL nyingi ila zote yanagoma kufika makundi maana yanajua fika yatadhalilika [emoji23][emoji23]Mwaka huo 1998 katika mechi sita za makundi, Yanga alipata sare mbili na kufungwa magoli 19 (kumi na tisa)
View attachment 2061324
Ukiona wanatajtaja 5-0 alizopokea Simba mwaka ule, ujue yanaogopa maana katika hayo magoli 19 waliyofungwa, kulikuwapo kipigo cha 6-0 walichopokea kutoka kwa Raja Casablanca ya MoroccoKumbe ndiyo maana haya majamaa yameshiriki CL nyingi ila zote yanagoma kufika makundi maana yanajua fika yatadhalilika [emoji23][emoji23]
Usianze kutamani mabwana wa wenzako(waarabu), wewe bwana wako ni simba mvumilie tu hâta kama hirudi na kitu kikubwa maana utafutaji sio kitu kirahisi.Baba wa kaya analeta nini? Simba awe baba wa kaya na AL Ahly awe nani nyie mbumbumbu?
Nae pia kamfunga simba mara 4 hivi makolo akili hizi aliwapa nani sio huyu aliwatandika hamsa?Kocha wao si ndio alikua AS Vita , amefungwa mara 3 mfululizo na Simba
Mbili
Labda fainali ya ndondoBasi Fainali Yetu