Simba hili kundi tutachukua points kwa nani?

Simba hili kundi tutachukua points kwa nani?

Mimosas ni wazuri na wana historia, Berkane mnawafahamu ni noma ,hiyo timu ya Nigeria labda nafuu.

Ili Simba iongoze kundi inabidi ifanye nini?

Hii timu ya Nigeria ipigwe nje ndani,

Berkane na Mimosas wapigwe kwa mkapa draw away.

Au mahesabu yapangwe vipi?

Wale wa kidimbwi hii thread haiwahusu huwezi kumshauri aliyekuzidi mafanikio
View attachment 2060551
Hili kundi tunapiga wote nje ndani sisi ni wakubwa wa African super league
 
Simba ya mwaka ni tofauti sana na misimu iliyopita sitashangaa akipokea vichapo na kuburuza mkia
 
Mimosas ni wazuri na wana historia, Berkane mnawafahamu ni noma ,hiyo timu ya Nigeria labda nafuu.

Ili Simba iongoze kundi inabidi ifanye nini?

Hii timu ya Nigeria ipigwe nje ndani,

Berkane na Mimosas wapigwe kwa mkapa draw away.

Au mahesabu yapangwe vipi?

Wale wa kidimbwi hii thread haiwahusu huwezi kumshauri aliyekuzidi mafanikio
View attachment 2060551
Bro, kwa ubora wa kikosi chetu kwa sasa nina wasiwasi.Kingekuwa kile cha mwaka jana yes, Yote kwa yote
tuone performance ya mechi ya kwanza ndo tutapata majibu.Ila angalizo lako la hao wengine (UTOPOLO) naomba lizingatiwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Back
Top Bottom