Simba, huu sasa ni wakati sahihi kuipiga Yanga goli za kutosha

Simba, huu sasa ni wakati sahihi kuipiga Yanga goli za kutosha

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Mtakapokutana tena round ya pili ligi kuu hakikisheni mnaipiga Yanga hii DHAIFU YA WAZEE GOLI HATA 9 ili ashike adabu.

Simba sasahivi ni wa moto sana na wachezaji ni vijana wenye kasi. Yanga imesheheni WASTAAFU ambao wameshajichokea.

Tumieni nafasi hii ambayo tayari matobo yanayovuja yameshaonekana. ALIYE UNLOCK PASSWORD YA UTOPOLO AJENGEWE SANAMU.
 
Mtakapokutana tena round ya pili ligi kuu hakikisheni mnaipiga Yanga hii DHAIFU YA WAZEE GOLI HATA 9 ili ashike adabu.

Simba sasahivi ni wa moto sana na wachezaji ni vijana wenye kasi. Yanga imesheheni WASTAAFU ambao wameshajichokea.

Tumieni nafasi hii ambayo tayari matobo yanayovuja yameshaonekana. ALIYE UNLOCK PASSWORD YA UTOPOLO AJENGEWE SANAMU
Atapigwa Tu Yanga
 
Tumechoka Sasa Yanga Ajiandae Tutampiga Kama Ngoma Ya Mdundiko
 
Ile ilipofungwa tano bila au nne moja ilikuwaje
Mkuu ndio pakumuuliza mleta mada hapa ile iliyochoka vile mliishia tano, hii iliyochoka saivi yenye kina Pacome ndani mtaipiga saba? Au zakutosha ngapi? Kama 5 hizo hazihitaji muwe mmechoka ndo mpigwe mwwenyewe unaelewa.
 
Kuna Yanga mbovu kupita ile iliyokuwa inatembeza bakuli? Mliifunga ngapi?
Watu kama ninyi ndiyo mtaji wa akina kamwe,raundi ya pili tutakataana wananchi wenzangu,nilisema mapema kibuli cha injinia cha kuwakacha walio msaidia hatuta fanta vizuri kimataifa watu walibisha nawaambia mapema hata ligi KUU hatuta chukua kama hajabadilika pia hata nafasi ya pili itakuwa mtihani mzito kwetu.
 
Kwasasa unaitaka Yanga, baada ya mechi mnataka kuhamia Burundi!!
 
Back
Top Bottom