Chief Ortambo Ikumenye
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 247
- 503
1. Mutale - anacheza kama ana shoti kichwani, mbio nyingi output zero... ukiwa na mchezaji type hii ushindi wako utakuwa ni ule wa mafuluku na magoli ya papatu papatu... huwezi ku achieve sustainability. Huyu makocha wasijichoshe hafundishiki tena kwa level yake
2. Kijili - huyu naye ni kama anacheza akiwa amepigwa shoti. Ila kuna uwezekano makocha wakaongea naye abadilike, right back unapata mpira unakimbiza kama ngiri mkia juu... mipira ya kizamani.
3. Kibu Denis - Huyu angebaki kutalii ulaya, hana impact yeyote kwenye timu kwa sasa.
HAwa wafuatao waongeze work rate na wawe watulivu
1. Ahoua - Anacheza ki mvp sana atulize wenge apambane na kujituma zaidi, yupo soft sana
2. Balua - Atulize mawengeni
3. Ngoma - Dimba la kati linamuacha sujui ni umri
4. Mukwala - Huyu kocha akae naye chini anaonekana ana kitu
Hawa wapo safi sana nimewakubali
1. Ateba - aisee hili jamaa ni striker haswaa, amefunga goli gumu na hana papara. Yaani jamaa kama jini hivi akiwa kwenye D possibility ya kufanya maafa ni 85%
2. Okejepha, Awesu - Wapo safi sana