Simba, Idd Nado na Ayoub Lyanga wanatolewa mkopo, msiseme sikuwaambia, mashine za ukweli kabisa hizo

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Hawa mawinga wana uwezo mkubwa sana, nimepata taarifa kuwa wanatafutiwa sehemu pale Ihefu wakacheze kwa mkopo, hawa sio wachezaji wa kutoa kwa mkopo, hawa ni package kabisa, Simba chukueni hawa viumbe mtakuja kunishukuru
 
Nikajua simba naye ni mchezaji anayetolewa kwa mkopo.
Mlipoambiwa kule wenye akili ni wawili haikuwa bahati mbaya. Huyu ndio aina ya watu wanaoishabikia Yanga, uwezo wao kiakili ni mdoooogo. Yule Eyamel alisema bado wako kwenye stage ya Usokwe na Nyani na kazi wanayoiweza ni kupayuka Ujinga ujinga tuu kama huyu.
 
Simba ina mawinga mpaka wamezidi timu imekosa balance. Ushauri wa bure Simba mtafuteni Cleophas Mukandala atawasaidia kuongeza ubunifu kwenye kiungo cha juu.
 
Hawa mawinga wana uwezo mkubwa sana, nimepata taarifa kuwa wanatafutiwa sehemu pale Ihefu wakacheze kwa mkopo, hawa sio wachezaji wa kutoa kwa mkopo, hawa ni package kabisa, Simba chukueni hawa viumbe mtakuja kunishukuru
Yani bado mnataka kuendelea kujaza mawinga kwenye timu yenu?

Mashabiki na viongozi wa Simba, wote mnafanana akili.
 
Yani bado mnataka kuendelea kujaza mawinga kwenye timu yenu?

Mashabiki na viongozi wa Simba, wote mnafanana akili.
Yaani kwenye Mapinduzi mawinga wanapiga krosi kama zote halafu hakuna mshambuliaji wa kati wa kufunga.
 
Mimi sio shabiki wa mpira ila mwandishi amekosea kuandika kichwa cha habari.
Ameandika hivi: "Simba, Idd Nado na Ayoub Lyanga".

Hio alama ya koma inamaana ipi kwenye kichwa cha habari.
 
Badala ya kuhangaikia wafungaji, nyinyi kila siku mnahangaika na viungo wa pembeni tu! Kama vipi tuwaachie Crispin Ngushi kwa mkopo ili awasaidie kufumania nyavu.
 
Duuh...! Kunywa maji utulie.
 
Mimi sio shabiki wa mpira ila mwandishi amekosea kuandika kichwa cha habari.
Ameandika hivi: "Simba, Idd Nado na Ayoub Lyanga".

Hio alama ya koma inamaana ipi kwenye kichwa cha habari.
Huyo jamaa ulimquit unapoteza muda tu hata ya kumjibu ulichokiandika hapo ndio ajigeuzie yeye. Ni mbumbumbu huyo
 
Yaani kwenye Mapinduzi mawinga wanapiga krosi kama zote halafu hakuna mshambuliaji wa kati wa kufunga.
Nikajua hili nilikuwa naliona Mimi tu dogo huku igwachanya.

Simba kwanza crosses sio za viwango ila baya zaidi kwenye cross mfano 10 ....8/9 zote zinachezwa na timu pinzani zote ......almost kwenye mashindano mwanzo mwisho ndo ilikua hivyo hivyo ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…