Simba ijiandae kisaikolojia.....

Simba ijiandae kisaikolojia.....

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,735
Reaction score
5,974
Ninachokiona baada tu ya msimu wa Ligi kuanza, hizi kelele zinazotokana na Imani ya mashabiki wa Simba kuamini kwamba watafanya vizuri saaana msimu ujao, hali itakua tofauti sana..

Yaani kama ni radio, basi betri zitanyofolewa ghafla...
Na ni kama umeme, basi fuse ya taa itaungua...

Ni mtazamo tu, kwani nikiangalia kikosi cha mwaka jana kilikua bora saana, hakukuwa na sababu ya kuingiza makinikia (wahenga) ambao wanajikwaakwaa tu pale mbele.... Mashabiki wanatembea na historia ya wachezaji tu, yaani kama vile Yanga kuwarudisha Mwalala na Ambani....

Ila kwakua wanayo hela, labda waliamua kuonyesha jeuri ya pesa tu, ila kama team, haiendani na akili waloijenga... Tusubir tutarudi kwenye huu uzi baadae muda ukifika........

Mtazamo tu!
 
Wanasema owe mvua, liwe jua, Simba lazima above ndoo zote muhimu huu. Jeuri yao ni uongozi Mpya wa tifua tifua. Refer uzi wa Genta
 
Timu ipi ya kuisumbua Simba? Hii Yanga isiyo tofauti na timu za Ndondo Cup? Punguza ushabiki Jombaaa. Kipimo cha kwanza August 23.
 
Wanasema owe mvua, liwe jua, Simba lazima above ndoo zote muhimu huu. Jeuri yao ni uongozi Mpya wa tifua tifua. Refer uzi wa Genta
Kila mwaka wanasema hivyo hivyo, wala usipate pressure,..
 
kwa kombe la Vodacom/ligi kuu labda waliibe

Okwi tunamjua,Niyonzima tunamjua,hawa wakichapwa mechi mbili mfululizo lazima Kieleweke

Hata madrid kuna kipindi ilikusanya mastaa wote wa dunia ila hakuna walichoambulia

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba haina mastaa, imekusanya majina ya kihistoria... We subir tu mkuu!
 
Ninachokiona baada tu ya msimu wa Ligi kuanza, hizi kelele zinazotokana na Imani ya mashabiki wa Simba kuamini kwamba watafanya vizuri saaana msimu ujao, hali itakua tofauti sana..

Yaani kama ni radio, basi betri zitanyofolewa ghafla...
Na ni kama umeme, basi fuse ya taa itaungua...

Ni mtazamo tu, kwani nikiangalia kikosi cha mwaka jana kilikua bora saana, hakukuwa na sababu ya kuingiza makinikia (wahenga) ambao wanajikwaakwaa tu pale mbele.... Mashabiki wanatembea na historia ya wachezaji tu, yaani kama vile Yanga kuwarudisha Mwalala na Ambani....

Ila kwakua wanayo hela, labda waliamua kuonyesha jeuri ya pesa tu, ila kama team, haiendani na akili waloijenga... Tusubir tutarudi kwenye huu uzi baadae muda ukifika........

Mtazamo tu!
Nilitarajia ukichambue kikosi kizima na uonesha udhaifu wa kikosi na mapungufu yake ndio utoe hitimisho kumbe ni ngada imejaa kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa msimu huu timu ya Simba ndiyo yenye kikosi bora zaidi, lakini sio kigezo cha kuchukua ubingwa wa Ligi.
Misimu mitatu iliuliyopita Yanga ilikuwa na kikosi kizuri zaidi, kutokana na ufadhiri wa manji.
Washambuliaji.
Ngoma, Tambwe, Chirwa, Msuva.
Katikati.
Niyonzima, Kamusoko.
Nyuma.
Bossou, Dante, Yondani, Kanavaro.
Ilikuwa halali kwao kuchukua ubingwa wa Ligi.

Msimu huu Simba sc waliahindwa kuchukua ubingwa tatizo litakuwa kwa benchi la ufundi likuongozwa na kocha Amog, na Mayanja kama msaidizi wake.

Ni msimu wa Simba sc. mtake msitake.
 
Maneno ya mkosaji...mfungwe na ruvu shooting mje kuifunga simba

What goes around always comes around
 
Mmemsikia Julio alivyosema jana,Yanga sio ya kubeza,wanajua wakifanyacho Simba isibweteke.Kaongea kama kocha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Timu za Simba na Yanga zinapokutana hakuna ushindi wa asilimia 90.
Timu dhaifu inaweza kuifunga timu nzuri.
Angalia mfano wa mechi ya mwisho.
Yanga ilikuwa bora kuliko Simba na ikafungwa.

Usiichezee kamali mechi ya Simba na Yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa msimu huu timu ya Simba ndiyo yenye kikosi bora zaidi, lakini sio kigezo cha kuchukua ubingwa wa Ligi.
Misimu mitatu iliuliyopita Yanga ilikuwa na kikosi kizuri zaidi, kutokana na ufadhiri wa manji.
Washambuliaji.
Ngoma, Tambwe, Chirwa, Msuva.
Katikati.
Niyonzima, Kamusoko.
Nyuma.
Bossou, Dante, Yondani, Kanavaro.
Ilikuwa halali kwao kuchukua ubingwa wa Ligi.

Msimu huu Simba sc waliahindwa kuchukua ubingwa tatizo litakuwa kwa benchi la ufundi likuongozwa na kocha Amog, na Mayanja kama msaidizi wake.

Ni msimu wa Simba sc. mtake msitake.
Hayo ni mawazo yako wewe na kama wewe (nikiwamo na mimi). Ila wapenzi wa Simba na wapinzani wengine wa Yanga wanaamini kwamba hicho kikosi ni duni sana; ushindi uliletwa zaidi na 'Double M' (Malinzi na Manji). Wanaendelea kuamini kwamba kukosekana kwa 'wachezaji hao muhimu' msimu huu, Yanga haitakuwa na chake. Tujaalie wako sahihi. Sasa kama majina ya waliosajiliwa ndiyo yanayoamua ubingwa, wanasemaje kuhusu Singida United?
 
Back
Top Bottom