Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,735
- 5,974
Ninachokiona baada tu ya msimu wa Ligi kuanza, hizi kelele zinazotokana na Imani ya mashabiki wa Simba kuamini kwamba watafanya vizuri saaana msimu ujao, hali itakua tofauti sana..
Yaani kama ni radio, basi betri zitanyofolewa ghafla...
Na ni kama umeme, basi fuse ya taa itaungua...
Ni mtazamo tu, kwani nikiangalia kikosi cha mwaka jana kilikua bora saana, hakukuwa na sababu ya kuingiza makinikia (wahenga) ambao wanajikwaakwaa tu pale mbele.... Mashabiki wanatembea na historia ya wachezaji tu, yaani kama vile Yanga kuwarudisha Mwalala na Ambani....
Ila kwakua wanayo hela, labda waliamua kuonyesha jeuri ya pesa tu, ila kama team, haiendani na akili waloijenga... Tusubir tutarudi kwenye huu uzi baadae muda ukifika........
Mtazamo tu!