Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Simba inashuka dimbani jumatano kupepetana na Kagera Sugar ambao raundi ya kwanza waliwadhalilisha ugenini kwa bao la mchezaji wao wa zamani Hamis Kiiza Diego.
Kagera Sugar ni miongoni mwa timu zinazoisumbua sana Simba, walishawahi kuwadhalilisha mbele ya Hayati Magufuli, wana mafundi hasa sio masihara, wameweka kambi Morogoro kuepuka hujuma za mnyama, Simba wajipange otherwise itakuwa kama Yanga na Prisons vile.
Link imekuwa tamu sana.