Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Sasa hiyo jumatano ufike uwanjani uone maana halisi ya kudhalilishwa hao mafundi wao.Simba inashuka dimbani jumatano kupepetana na Kagera Sugar ambao raundi ya kwanza waliwadhalilisha ugenini kwa bao la mchezaji wao wa zamani Hamis Kiiza Diego.Kagera Sugar ni miongoni mwa timu zinazoisumbua sana Simba, walishawahi kuwadhalilisha mbele ya Hayati Magufuli, wana mafundi hasa sio masihara, wameweka kambi Morogoro kuepuka hujuma za mnyama, Simba wajipange otherwise itakuwa kama Yanga na Prisons vile.
Link imekuwa tamu sana.
Kumbe jamaa ni "akicha"?Teh!Wewe umechanganyikiwa
Dakika 10 umeweka thread 8
Nakuhakikishia mpaka mwisho wa msimu lazima uwe na faili Mirembe
Kwa Mkapa hatoki mtu.Ushindi kwa mpinzani ni " uniform"Kumbe jamaa ni "akicha"?Teh!
π€£π€£π€£βοΈβοΈβοΈππππ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπWewe umechanganyikiwa
Dakika 10 umeweka thread 8
Nakuhakikishia mpaka mwisho wa msimu lazima uwe na faili Mirembe
umeandika ukweli,jamaa kadata.Wewe umechanganyikiwa
Dakika 10 umeweka thread 8
Nakuhakikishia mpaka mwisho wa msimu lazima uwe na faili Mirembe