Simba ijitoe Ligi ya Mabingwa, ni aibu kubwa kufuzu kwa mpira ule

Kweli nimeamini kwamba Simba sc ni timu kubwa kwa sasa hapa Africa. Imagine timu inashinda mechi home and away, lakini kinachozungumzwa sio matokeo inayopata tena bali performance ya timu. Wakati zamani timu ikipata droo au ikifungwa goli chache ugenini mjadala utakuwa mkubwa.
 
Nasubili mtizamo wangu juu ya matokeo ya wiki hii yakamilike nikajipongeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…