Simba ikichukua ubingwa ndani ya miaka 10 nipigwe ban

Simba ikichukua ubingwa ndani ya miaka 10 nipigwe ban

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Mimi ni mpenzi wa mpira nilivyoiona hii timu ya simba haiwezi kuwa bingwa ligi kuu miaka 10 mfulilizo endapo IKICHUKUA UBINGWA nipigwe ban ya maisha humu JamiiForums.

Nina uhakika Kwa ninachokiongea haitokuja kutokea simba ikabeba ubingwa maana ubingwa umeshakua Mali ya yanga miaka 10 mfululizo timu ya simba haijielewei mpaka mashabiki hawajielewi sababu Moja wanakurupuka kusema viongozi timu ikifungwa tu wakishinda wanasahau itoshe kusema ni mbumbumbu.

Soma Pia: Yanga akifungwa na Simba nipigwe ban ya wiki
 
Mimi ni mpenzi wa mpira nilivyokuona hii timu ya simba haiwezi kuwa bingwa ligi kuu miaka 10 mfulilizo endapo IKICHUKUA UBINGWA nipigwe ban ya maisha humu jamii forum Nina uhakika Kwa ninachokiongea haitokuja kutokea simba ikabeba ubingwa ubingwa umeshakua Mali ya yanga miaka 10 mfululizo timu ya simba haijielewei mpaka mashabiki hawajielewi sababu Moja wanakurupuka kusema viongozi timu ikifungwa tu wakishinda wanasahau itoshe kusema ni mbumbumbu
ungeelezea kwanza faida zako za kutopigwa ban ambazo wana JF wanafaidika nazo.

Je, kuwa kwako hewani kunawapatia bundles za bure? Je kunawaongezea chochote kwenye shughuli zao za kujiingizia vipato?
 
ungeelezea kwanza faida zako za kutopigwa ban ambazo wana JF wanafaidika nazo.
je, kuwa kwako hewani kunawapatia bundles za bure? Je kunawaongezea chochote kwenye shughuli zao za kujiingizia vipato?
Sijui
 
Mimi ni mpenzi wa mpira nilivyoiona hii timu ya simba haiwezi kuwa bingwa ligi kuu miaka 10 mfulilizo endapo IKICHUKUA UBINGWA nipigwe ban ya maisha humu JamiiForums.

Nina uhakika Kwa ninachokiongea haitokuja kutokea simba ikabeba ubingwa maana ubingwa umeshakua Mali ya yanga miaka 10 mfululizo timu ya simba haijielewei mpaka mashabiki hawajielewi sababu Moja wanakurupuka kusema viongozi timu ikifungwa tu wakishinda wanasahau itoshe kusema ni mbumbumbu.

Soma Pia: Yanga akifungwa na Simba nipigwe ban ya wiki

Wewe nani ..?

Upigwe ban au usipigwe ban , Sisi inatuhusu nini?

Mbona Watu mnapenda kujitutumua..!?
 
Back
Top Bottom