Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
SijazipotezaTafuta pesa dogo
ungeelezea kwanza faida zako za kutopigwa ban ambazo wana JF wanafaidika nazo.Mimi ni mpenzi wa mpira nilivyokuona hii timu ya simba haiwezi kuwa bingwa ligi kuu miaka 10 mfulilizo endapo IKICHUKUA UBINGWA nipigwe ban ya maisha humu jamii forum Nina uhakika Kwa ninachokiongea haitokuja kutokea simba ikabeba ubingwa ubingwa umeshakua Mali ya yanga miaka 10 mfululizo timu ya simba haijielewei mpaka mashabiki hawajielewi sababu Moja wanakurupuka kusema viongozi timu ikifungwa tu wakishinda wanasahau itoshe kusema ni mbumbumbu
Sijuiungeelezea kwanza faida zako za kutopigwa ban ambazo wana JF wanafaidika nazo.
je, kuwa kwako hewani kunawapatia bundles za bure? Je kunawaongezea chochote kwenye shughuli zao za kujiingizia vipato?
😁😁🤣🤣😂😂🤣Tafuta pesa dogo… usije kuishia Kama mzee mpili
Poa mpiliSijazipoteza
Mimi ni mpenzi wa mpira nilivyoiona hii timu ya simba haiwezi kuwa bingwa ligi kuu miaka 10 mfulilizo endapo IKICHUKUA UBINGWA nipigwe ban ya maisha humu JamiiForums.
Nina uhakika Kwa ninachokiongea haitokuja kutokea simba ikabeba ubingwa maana ubingwa umeshakua Mali ya yanga miaka 10 mfululizo timu ya simba haijielewei mpaka mashabiki hawajielewi sababu Moja wanakurupuka kusema viongozi timu ikifungwa tu wakishinda wanasahau itoshe kusema ni mbumbumbu.
Soma Pia: Yanga akifungwa na Simba nipigwe ban ya wiki
🤣🤣Tafuta pesa dogo… usije kuishia Kama mzee mpili